Pole sanaMimi pia niliumia sana
Taarifa za kifo chake nilizipata huko kwenye status za whatsap...niliamsha baba na mama yangu kwa kilio ππ
Huyu Magu aliliza wengi! Nakumbuka sisi wapiga vyombo tulikuwa tunaogopa hata kuangalia TV! Ukizunguka nyuma unakuta mtu kakaa peke yange kala angle analiaπMimi pia niliumia sana
Taarifa za kifo chake nilizipata huko kwenye status za whatsap...niliamsha baba na mama yangu kwa kilio ππ
Huyu Magu aliliza wengi! Nakumbuka sisi wapiga vyombo tulikuwa tunaogopa hata kuangalia TV! Ukizunguka nyuma unakuta mtu kakaa peke yange kala angle analiaπ
Yeah! Wengine walikuwa wanajificha lakini makamasi na macho mekundu hayafichi!Ilikuwa very sad news kiukweli
Na wewe bado unaishi kwenu kama snopiMimi pia niliumia sana
Taarifa za kifo chake nilizipata huko kwenye status za whatsap...niliamsha baba na mama yangu kwa kilio ππ
Na wewe bado unaishi kwenu kama snopi
Sie wengine tulioneshwa kabla kuwa huyo mzee hatakuwa ma muda mrefu.Mimi pia niliumia sana
Taarifa za kifo chake nilizipata huko kwenye status za whatsap...niliamsha baba na mama yangu kwa kilio ππ
Sie wengine tulioneshwa kabla kuwa huyo mzee hatakuwa ma muda mrefu.
No,toka kupindi kile mpaka leo si bado upo hukoMagufuli kafa leo sio
Hapana mkuu sipo kuleNo,toka kupindi kile mpaka leo si bado upo huko
Ulitoka liniHapana mkuu sipo kule
Haitawezekana, Mungu siyo falaApumzike kwa amani
Unatupeleka mufindi jamaa kwenye kilimo cha kile kinywaji cha moto tunachokunywa asubuhiukali wa jamaa na mikwala kibao ilinipatia hela flani ya kibwege kiasi cha Tsh 500K
nilienda kituo cha treni kusubiria miadi na mdada mmoja jamaa alipo niona nimekaa muda sana huku naongea na simu alinifata na kunambia
najua umetumwa kuangalia mambo yanavyo enda hapa, ukweli wote tunatafuta maisha ko tusiharibiane
japo nilikataa sijatumwa jamaa akanipa 500k niondoke
nilisepa na mzg kiukweli, jpm angebaki kwa muda watanzania walikuwa wanaishi kwa uwoga sana hasa waliopo makazini
Ulilia nini wakati ulikua humpendi πHuyu mzee sikuwahi kumpenda lakini taarifa za kifo chake usiku ule nililiaaa
Aendelee kupumzika kwa amani masikini