Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

Mshana Jr umenipotezea inbox,kale kajamaa ka kihehe kameshindikana au tuhesabu masaa,kapigwe na radi hapo au tego flan amazing.

Kamenivurugia mipanga mura,kajitu kanadhurumu baba yake anasema tumalizane alipe kanasema hujui nilikotoka na huyu jamaa.

Kuna mwingine alinipiga tukio akaenda kupigwa risasi china kwenye black market huko,lakini haka kahehe kamenitoa kwenye project manifesto yangu ya Miaka saba,mradi wa sasa umepunguza speed sababu ya madhara ya yalotokana na kufeli kwa mradi huu wa kilosa huko ifwagi,mdabulo huko.

In fact wahehe wananikera sana
 
My apology niko safarini ngoja nirejee nakukumbuka
 
Ni mwendo wa kububujikwa tu kwa kweli, na mimi nabubujikwa mbane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…