Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

Unabubujikwa machozi kama Abdul akiwa anatafuna kiboga chako??!!
 
Wakuu

Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi.

Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.

View attachment 3435477
Rais ametapeliwa kwa muda mfupi wa miaka mnne ameingizwa mkenge wa kukopa bila utaratibu Hana plan B Tena.
Marais wa Afrika Wana shida sana badala ya kuwa na vikao vya ndani ya Afrika wao wanapenda vikao vya nje ya nchi na hasa USA,In fact USA ni tapeli katika mfumo wa dola scheme kama sio siraha za kivita basi atakuchonganisha kwenye mikopo umiza, na wanajua Samia aliingia kama underdog,
wasanii wa mataifa mengine kupitia Kikwete wakamtengeneza na sasa Hana la kufanya zaidi ya kukosa direction.
Kafulila anaimba wimbo wa PPP ambao wa kijinga hata yeye hana uhakika,Mwigu ni dalari wa pesa hajui hata kwanini maduka hayauzi zaidi anakamata hapa anakamata pale hajui which eye takes him there.

Kwa hali hiyo wameona Bora Kuja na scheme ya kuzuia wapinzani wasiingie Bungeni ilimradi tuu mwisho wa siku wajimalize wenyewe ndani ya ccm as a result hakuna la kufanya ni kujifariji na vikao uchwara vya Baraza la mawaziri.Hakuna kitu wanafanya chochote.


Ukiwa maeneyo ya iyovi magari yanaua watu kibao kisa barabara zimejaa mashimo na miinuko ni mikubwa sababu hakuna bajeti ya kuwekeza barabara zenye viwango vizuri.


Ni rahisi sana kumuelewa Job Ndungai kutokana na kauli yake ilokula maisha yake.

Assume deni ni Tsh trillion 157 kwa mujibu wa gazeti la mwana... na mamlaka ya mapato inakusanya trillion 3
3 trillion less loan scheme 1.8trilion inabaki 1.2 trillion.
1.2trillion ukiondoa wage bill 800billion unabaki billion 400 tsh
Billion 400 ukiondoa Gharama za wasiojulikana na misafara ya kuwasha trekta kama hapo kwenye picha mostly inabaki bilioni 100 pekee ya kusonga nayo mbele au inaisha kabisa kutoka na matumizi ya serikali

Hapa ndugu zangu ndo tulipofikia,hakuna cha reform no electiona wala nini hapo tumekamatwa kama Zambaia ilivypatikana kwa miaka ya hivi karibuni ingawa wamejikwamua two year estimated.
Bia hazinyweki sababu watu wanakunywa vinywaji vya book moko.

Swala hili linahitaji mjadara wa kitaifa na kama hatutaliangalia kwa jicho la tatu Zambia na Zimbabwe walipata wakati mgumu mno,Haina haja ya kuacha Bunge limegawanyika kwa upande mmoja wa ccm na COVID 19 ndo wameshachomolewa.
Akina kibajaji watabakia kuimba Singeri pekee Hapo Dodoma,hata majengo ya Bunge yenyewe yamekaa kimtego yamepitwa na wakati.

Ukimuangalia Tulia Ackson body language yake,na kucheza kwake inawakirisha theory ya Job Ndungai,nchii haiwezi kuendeshwa kwa mikopo.

Angalia hata Mangula akaona aibu kuu kaamua kukaa Pembeni amekuja Mzee Wasira yeye anangalia powder tuu ya kufanya avutie.

Mzayuni mwingine Philip Mpango kaona huu mziki ni mnene kaona isiwe tabu,Wamefungua majirida yote hakuna majibu wanapata.

Wanaenda kumuua ndugu yetu Job kwa husda pekee,wakati yeye ndie ametusanua kuhusu mikopo umiza walikopa ccm kwa jina la msaada.

Hii haihitaji elecric drone kujua tumekematika.

Tunakusanya sana lakini tumeingizwa utumwa wa mikopo na Mwigulu Nchemba wakishirikaina na Mzee wa Msoga na Rostam Azizi akipiga gitaa la uwekezaji wa uranium na hakuna faida itaonekana mpaka tupunguze mzigo wa deni lote libakie trillion 39 au 49. Deni la taifa lifanane na bajeti ya mwaka au chini yake.

Ni wakati sasa ccm waanze kufanya household survey waone jinsi wananchi wa kawaidi hapo keko,Manzese,shimo la udongo na meneo.mengine ya waswahili wanavyoshindia mihogo na miguu ya kuku.

Mikoani huku Biashara zinafungwa sababu market Iko Saturated hakuna market power ya kununua na kufanya strong household purchase sabbu bills ziko on nake to nake.

"A market become saturated once there is many sellers.than buyers.
BOT ni taasisi ya hovyo sana hapa Tanzania,Mazao ya wakulima yanachezewa na wasanii wa Pole pole na hakuna kitu BOT wanafanya kazi yao imewashinda.

Sasa kama BOT wangekuwa smart,wangechukua mgodi wa Uranium na kuweka strategic only kupunguza deni lote la Taifa,na pia walitakiwa BOT wahakikishe serikali haikopi Tena.

Sasa tuwaulikize wanazuoni.Nini kifanyike katika hali kama hii,wakuu wote wa idara hakuna tena bajeti ya kujifunza vitu,hakuna field visit hakuna field study abroad Maana yake born here here with same strategy in and out without plan B.

Ccm hii ndo position mmetuweka sababu ya kujioendekeza kizmkazi.
Ccm mmefeli big time.
 
Back
Top Bottom