Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji

Nadhani Lissu anapotoka.Siasa si uadui.
 

Huyo Mbowe wako watu walisimama naye sana alipotajwa kuhusika kuuza ngada, na aliposhitakiwa kwa Ugaidi.
At the time mwenyekiti wako anapewa kesi nzito ili kuidhoofisha CHADEMA, ilipaswa akae mbali na watesi, siyo kujichanganya katika hadhara zao. Kwenda katika hadhara hizo ni dalili kuwa anaungana nao katika uonevu wanaomfanyia mwenyekiti wa chama
 
Wengi waliosimama nae bado wanamuamini. Tofauti na viongozi wenzake na wanao jidai kuwa wapenda haki ambao hawakusimama nae hata alipoita maandamano kupinga mauaji na kupotea kwa watu kunakotokea. Aliyejiunga nae ni binti yake na wale wakina mama waliotoka nyanda za juu. Mnaojifanya kuwa mlikuwa nae hamkuwepo. Hata Lissu hakujitokeza.

Si usaliti kuhudhuria ufunguzi wa mradi utakaowasaidia watanzania. Ni haki yake kama raia.

Hili ni non issue mnalotaka kulikuza kwa sababu hamna kitu kipya. Badala ya kumuandama Mbowe muandameni Samia. Au mnamuogopa?

Amandla...
 
Yaani hili lijamaa nilifikiri Lina akili kumbe ni bwege tu, Lina akili za kukariri vifungu tu basi. Sasa ndo kaongea nini' hapo punga huyo?!!
 
Siku nilipomuona Mbowe ni ***** na mjinga ni siku yupo kanisani alifanya harambee ya kujenga kanisa!!." Nimeongea na Rais nae amesema anachangia 150m" mpinzani wako wa kisiasa unawezaje kumbrand na kumpa airtime kwa kiwango kile?.
Mbowe alipswa kupondwa mawe hadharani.... Kumamamae zake...
 
LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
Mkuu nimepitia sehemu fulani kusoma maoni juu ya Mbowe kwenda bwawani, kuna mwamba katoa jibu murua sana hasa kwa watu ambao uelewa wenu ni mdogo sana na mnashindwa uelewa weledi wa Lissu, na nukuu mazima akimjibu kilaza mmoja ''ubongo wako kama upo vizuri, basi jitahidi kuutumia vizuri. Hapo anaonyesha kuwa mahakama za Tanzania si huru, bali zinaingiliwa na ikulu yaani rais akiamua anaingilia mahakama. Kwa kesi ya Mbowe, tayari mahakama, ilikuwa imesema ana kesi ya kujibu. Hivyo rais alipaswa kuiachia mahakama iendelee hadi mwisho wa kesi na mahakama iamue, ila kuonyesha kuwa mahakama zetu ni matawi ya CCM, mahakama ilinyang'anywa mamlaka na rais kisha Mbowe akaenda zake ikulu na hata mahakama haikulazimisha, ili mchakato ule ufike mwisho wa uamuzi wa kisheria.
 
Mie naongelea uwepo wake BWAWANI na si SWALA LA MAHAKAMANI JUU YA KESI YAKE YA UGAIDI. Mbowe ni mdau wa maendeleo, haina maana kama ukiwa mpinzani basi hadi mema yapingike. Kingine ukishajua dunia inavyofanya kazi huwezi lalama, wanasema every man from himself. TOTO TUNDU INABIDI AKOMAE NA AMALIZE KILE ALICHOANZISHA , HATUJUI NI JINSI MBOWE KAUMIZWA NA HAO JAMAA CHADEMA KIVIPI , SISI NI WATAMAZAJI , YA NDANI HATUYAJUI. JE KAMA ANAFANYA MAONGEZI YENYE MANUFAA NJE YA MAHAKAMA PASIPO HATA LISSU KUJUA. JAMAA APUNGUZE HISIA MBONA YUKO NA CHAMA CHAKE BEGA KWA BEGA.
 
Hiyo kesi alifuta nani? ngoja nikutolee maoni ya mwamba mmoja mwenye anafikiri kwa kuona mbali naleta nukuu yake mazima akimjibu jamaa mmoja mwenye akili kama yako ''ubongo wako kama upo vizuri, basi jitahidi kuutumia vizuri. Hapo anaonyesha kuwa mahakama za Tanzania si huru, bali zinaingiliwa na ikulu yaani rais akiamua anaingilia mahakama. Kwa kesi ya Mbowe, tayari mahakama, ilikuwa imesema ana kesi ya kujibu. Hivyo rais alipaswa kuiachia mahakama iendelee hadi mwisho wa kesi na mahakama iamue, ila kuonyesha kuwa mahakama zetu ni matawi ya CCM, mahakama ilinyang'anywa mamlaka na rais kisha Mbowe akaenda zake ikulu na hata mahakama haikulazimisha, ili mchakato ule ufike mwisho wa uamuzi wa kisheria
 
Within a "QUOTE",can we get a "QUOTATION",boss?
 
Eh naona una kichwa kigumu kuelewa sababu umeshindwa kujua logic ya Lissu kumsema kuhusu Mbowe hiyo ya bwawa anataka tu kuonyesha jinsi mahakama zinavyoingiliwa kwa kesi ile ile ambayo Mbowe alijikuta yupo ikulu bila taarifa za mahakama ndio hiyo hiyo ambayo Lissu anayo, kama mahakama iliingiliwa wakati wa Mbowe hadi akatolewa je kwa sasa ni kitu gani ambacho mahakama itaifanya isiingiliwe kwenye kutoa maamuzi?
 
Pascal Mayalla umeiona hii statement ya Lisu leo.

Wewe kusimama na kumsifia Mbowe kuwa amefanya vyema kushiriki shughuli inayoongozwa na mtu mwenye damu za Watanzania mikononi mwake kwamba ni jambo jema.

Maneno makali kuwa vyama upinzani kumejaa mijitu mijinga kwa sababu tumeona usaliti wawazi. Haya sema sasa kuwa Lisu naye ni miongoni mwa mijitu mijinga.
 
Amefanya wrong calculative move
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…