Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji

Ingekuwa vizuri zaidi kama ungeweka mawazo yako badala kutumia ya mtu mwingine.
Anayeleta mashtaka Mahakamani ni DPP. DPP ana haki ya kuondoa Mashtaka hayo Mahakamani wakati wowote bila hata kutoa sababu.

Mahakama haina haki au uwezo wa kulazimisha kesi iendelee kama meta mashtaka amesema kuwa hana nia ya kuendelea nayo. DPP akighairi ( nolle prosequi) ndio mwisho wa kesi. Utaratibu huo uko dunia nzima. DPP anaweza pia kughairi kuendelea na kesi ya Lissu. Akifanya hivyo, Lissu ataachiwa na atakuwa huru kwenda kokote anako taka. Baada ya Nolle Prosequi haiwezi kuendelea na kesi.

Hapa kwetu watu huwa wanatilia shaka matumizi ya Nolle Prosequi kwa sababu DPP anateuliwa na Rais wa JMT. Mara nyingi panakuwa na imani kuwa Rais ana uwezo wa kumuamrisha kufungua au kufuta kesi.

Bahati mbaya huyo uliye muamini hayuko vizuri sana katika mambo ya sheria.

Amandla...
 
Nolle Prosequi ilitolewa Mahakamani, utasemaje kuwa Mahakama haikuwa na habari? Mbowe hakujikuta yuko Ikulu bali aliambiwq kuwa Rais anahitaji kuonana nae. Hakutekwa na mtu bali alienda kwa utashi wake. Baada ya kikao na Rais walipiga picha ya pamoja.
Mbowe kuachiwa hakuhusiani kwa vyovyote na kuingiliwa kwa Mahakama.

Unaweza kusema Mahakama imeingiliwa kama kuna dalili zozote za upendeleo wa upande mmoja pale hukumu inaonekana kuelekea upande ambao kila mmoja anaona kuwa sio wa haki.

Amanda...
 
Kvuma la …. Nilitaka nikutukane ila nimekumbuka kuwa Mungu pia anayependa mapumbavu
 
Kwa hiyo hofu yenu ni kuwajibishwa baada vitendo vyenu vya kifedhuli

Kwani waliovunja Sheria makusudi Kwa kuteka Kuteswa na kuua watanzania lisu akija kuwawajibisha Kuna shida gani

Au kuwajibishwa wahalifu kwenu ni kulipa kisasi ?
 
huyo,
hatawahi kushinda kesi wala kushinda urais wa nchi hii gentleman 🐒
Kwa hiyo hofu yenu ni kuwajibishwa baada vitendo vyenu vya kifedhuli



Kwani waliovunja Sheria makusudi Kwa kuteka Kuteswa na kuua watanzania lisu akija kuwawajibisha Kuna shida gani



Au kuwajibishwa wahalifu kwenu ni kulipa kisasi ?
 
Kwa hiyo hofu yenu ni kuwajibishwa baada vitendo vyenu vya kifedhuli



Kwani waliovunja Sheria makusudi Kwa kuteka Kuteswa na kuua watanzania lisu akija kuwawajibisha Kuna shida gani



Au kuwajibishwa wahalifu kwenu ni kulipa kisasi ?
hofu anayo yeye pekee na matataizo yake
 
 
Umemaliza!
 
Wewe unatumia logic wakati wenzako wanatumia emotions, unategemea mtaelewana?
 
Zisi is Tanzaniano mwenyekiti,ukishanga ya Man Free utayaona ya Kitambi na chawa CCM😭
 
Hizi rasta za Lissu zinanikumbusha kitu huko Kenya. Wakati wa vuguvugu la Mau Mau wafuasi wa Mau Mau walianza kufuga ndevu wakimuiga Mzee Jomo Kenyatta. Ishu hii iliwaudhi sana wazungu. Wakaanza kuwanyoa kinguvu wale waliofuga ndevu makambini.
Pia kuna mwanaharakati, nadhani ni Koigi wa Mwere, alifuga rasta hadi Moi alivyoondoka madarakani.
 
Hivi yanayojiri huku nje anaambiwa na hao askari au
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…