Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji

Hana upendaji wowote wa nchi huyo mpuuzi anapenda sana masilahi,yeye anaamini kwenye account kutuna bora anaingiza siku the rest wanaomdhania ni mtu watabaki vinywa wazi na maumivu makali ya hisia refer maneno aliyotamka Lisu hapo juu
Angekuwa anapenda hela CCM mngekuwa hamsumbuani naye. Au hakusema hadharani kwamba amekataa mabilioni ya Abduli?
 
Aquellina. Risasi alilengwa MBOWE, ikamkosa kidogo tu, ikaenda kumlamba mtu mwingine kabisa ndani ya basi
Ulijuaje kuwa askari ilimlenga Mbowe na sio waandamanaji kwa ujumla?
Na Mbowe amesababisha vipi kifo cha Akwilina Akwilini? Mtu ambae hakuwa mshiriki wa maandamano yaliyoongozwa na Mbowe? Aidha, Mahakama ya rufaa ilifuta hukumu dhidi ya Mbowe na wenzake ( Heche, Msigwa na wengine) kuwa wanahusika na kifo cha Akwilina.

Amandla...
 
Angekuwa anapenda hela CCM mngekuwa hamsumbuani naye. Au hakusema hadharani kwamba amekataa mabilioni ya Abduli?
Na alipoambiwa atoe ushahidi alisema mwenye ushahidi ameishakufa. Badala yake palikuwa na recording ya yeye akimuahidi Abduli kuwa atakuwa rafiki yake wa milele kama atamsaidia kulipwa stahili zake. Ule ulikuwa uongo ili kumchafua Wenje na Mbowe.

Amandla...
 
Aiseeeh!!!
Ni kushindwa uchaguzi tuu ama kuna lingine/mengine!!??
Hizi chuki kwa Lissu zinafikirisha.
 
Sijui kwa nini hii mantiki watu hawaioni, labda ni ukilaza.
Umeiweka vyema na kwa lugha nyepesi,asiyeelewa hapa tena huyo hawezi kusaidika.
 
Kwani hawa wanaotuongoza kwa kuteka, kuua, kubambika kesi na kuiba chaguzi, wali behave vipi kabla ya kuingia madarakani?
 
Kwani hawa wanaotuongoza kwa kuteka, kuua, kubambika kesi na kuiba chaguzi, wali behave vipi kabla ya kuingia madarakani?
Twende majumbani kwao.
Magufuli alikuwa akiwatesa sana watu wa familia yake. Akiwa madarakani alimpiga mkewe vibaya hadi akalazwa Muhimbili.

Pia kawahi kumsombesha trip za mchanga kwa ndoo , sababu hakulielekeza gari kumwaga mchanga sehemu ambayo yeye Magufuli alitaka umwagwe.

Samia yeye amekiri hadharani kwamba hakuwa mlezi mzuri wa watoto wake. Muda wake mwingi aliutumia kwenye vikao vya chama na baba yake Nape Nnauye, aliwaita vichenchere
 
Kama hao wamekuwa "viongozi " kwanini iwe nongwa kwa Lissu?
 
Hitimisho:
Ulichokiandika hapa kinatokana na mtazamo wako! Hivyo nakushauri na wewe uheshimu mitazamo ya watu wengine wanaoamini kwenye team work, unity na collective responsibility. Usilazimishe mtazamo wako kuwa sheria au kanuni.
Huyo jamaa ni Taka-Taka hata usihangaike nae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…