Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Angalia hii na hiyo uliyoleta
 
Kwani kuna chama cha siasa kilicho balance dini miongoni mwao hapa Tanzania?

CCM ndio chama pekee kilocho jaribu kwa aslimia kubwa sana kubalance wanachama wake, kwenye dini, kabila, kanda hata jinsia.

Jaribu kupata list ya wanachama wa vyama vingine uone kama wana balance kwenye kanda, kabila, dini na jinsia. Hii ni moja ya sababu ya kushidiwa kuingia Magogoni au Chamwino
 
Hata hapa unaweza kusema walikuwa wanasema bwana asifiwe
 
Dini gani zimebalance CCM?
 
Mkuu tuwekee ya chadema
 
uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…