Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baaya ya Uchaguzi Mkuu 2020!

Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!

Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif

Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani

Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.

Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:

Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga

Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo

Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud

Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani

Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe

Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo

Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid

Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande

Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor

Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda

Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.

Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Hahahahaaa
Wote wanatoka Maka na Madina, hakuna anaetoka Roma wala Vatcan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jiwe huwa anawacheki halafu anachekaje??
IHHIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!
nimekuelewa mleta mada
 
Suala na dini siio kigezo kikubwa, mbona hatulalamiki, tukiwekewea list ya matajiri majina ya dini fulani yakitawala, mbona hatushangai kwenye mitihani ya kitaifa majina yaliyongoza ya dini fulani yakitawala.

Hata kama chama kimejaa wapagani tusitishwe na upagani wao, cha kuangilia ni kweli wanasifa, yupo hapo kwa kigezo cha ufanisi na sio upendeleo wa dini au kabila au rangi yake.

Tukisema tubalance dini what if huo mchanganyiko wa dini kwa watu waliopatikana hawana tija na uwezo.

Tatizo ni fikra zetu, kama umepewa nafasi kwa kigezo cha dini basi hata ukiwa kiongozi utaku mtu wa kuangalia udini.

Kinachohitajika ni watu ku deliver, tuone uwezo wao na ujue kutofautisha udini na kazi yako, ukristo wako na uislam wako kafanyie nyumbani kwako na sehem zako za ibadi sio kazini.

Kazini tuone kimoja tu uwezo wako sio dini wala kabila lako.
Hay ni maono na maoni yangu.
 
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baaya ya Uchaguzi Mkuu 2020!

Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!

Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif

Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani

Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.

Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:

Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga

Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo

Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud

Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani

Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe

Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo

Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid

Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande

Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor

Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda

Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.

Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Ngumu sana kuliona hili,ukanda,udini ila nafikiri pia mleta mada una tatizo katika mtazamo wako...
 
1. Watusi na Wahutu walitambuana kwa PUA zao.

2. Afrika Kusini Wanatambuana kwa mwonekano tu unashushiwa kipigo kwa kuitwa KWERE KWERE!

3. Tanzania DINI zetu tunatambuana kwa MAJINA tu.

Yaani wewe hata kama unaagiza MTU ASIYE NA HATIA apigwe RISASI 38 kama wanaua CHATU au KUUA TU MPITA NJIA MWANAFUNZI Haijalishi, Ilimradi Una Jina La DINI YETU na MADARAKA Utaabudiwa kuliko Mungu.

What a Dark Continent !!!?
 
True ila Dah ina maana Zitto hajaliona hili na ujanja wake wote hii itakuwa ya siraha kwa wapinzani wao
Huyo ni catalyst katika mchezo wa siasa hapa Tz siasa zikitulia huingiza jambo likaamsha siasa mfano ile barua kuzuia mkopo WBank na serikali pamoja na Bunge kutuaminisha ingemshughulikia hata kushikwa shati alipo wasili halikufanyika hapo ndio utajua Zito ni nani kwa maslahi yepi uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima anaupata wapi?
 
Jamani mnisaidiye kiongozi mkuu wa act ninini hasa,?mi ninavyoelewa cheo cha juu ktk chama ni m\kiti safu inashuka.
 
Bila kupepesa macho, mkuu hufai kuwa mshauri wa kitu chochote...
Suala na dini siio kigezo kikubwa, mbona hatulalamiki, tukiwekewea list ya matajiri majina ya dini fulani yakitawala, mbona hatushangai kwenye mitihani ya kitaifa majina yaliyongoza ya dini fulani yakitawala.

Hata kama chama kimejaa wapagani tusitishwe na upagani wao, cha kuangilia ni kweli wanasifa, yupo hapo kwa kigezo cha ufanisi na sio upendeleo wa dini au kabila au rangi yake.

Tukisema tubalance dini what if huo mchanganyiko wa dini kwa watu waliopatikana hawana tija na uwezo.

Tatizo ni fikra zetu, kama umepewa nafasi kwa kigezo cha dini basi hata ukiwa kiongozi utaku mtu wa kuangalia udini.

Kinachohitajika ni watu ku deliver, tuone uwezo wao na ujue kutofautisha udini na kazi yako, ukristo wako na uislam wako kafanyie nyumbani kwako na sehem zako za ibadi sio kazini.

Kazini tuone kimoja tu uwezo wako sio dini wala kabila lako.
Hay ni maono na maoni yangu.
 
H
ACT ni kikundi cha wanaharakati wa kutetea dini flani, sawa na chadema ambao ni kikundi cha kikabila

Hivi vyama ni hatari kwa umoja wa kitaifa.
Tageti ya Vyama vyetu hivi... Kiukweli kabisa hapo tu ndo wanapofeli, mikakati Yao ni mizuri mno sijui Kwa nini vinajikuta vimeanza kufeli Kabla ya mechi,
 
Interesting! Propaganda at its best. Naona hapa “ukweli fulani” unatumika “vizuri kabisa” kuyumbisha wale wasiotaka kufikiri vyema. Tatizo haliko kwenye safu ya uongozi wa chama, BALI kwenye sumu inayopandikizwa mara kwa mara na chama dola kuwagawa Watanzania kwa misingi ya kikabila, kikanda, kidini, kizalendo, n.k. Na “wanafanikiwa” sana.

Huwa najiuliza sana: chama dola tayari kina karata ya turufu inayokihakikishia ushindi “milele na milele”. Kwa nini basi, wanapropaganda wake wanalazimika kutumia hadi mbinu hatari (desperate) zinazosambaratisha umoja wa kitaifa ili tu kuonyesha “kasoro” (ambazo si za msingi) kwenye vyama vya upinzani? Sidhani kama Watanzania wanahitaji propaganda sumu za aina hiyo; wanayo akili ya kupima na kupambanua ukweli na uongo na kuamua wanachotaka wakipewa fursa sahihi kufanya hivyo.
 
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baaya ya Uchaguzi Mkuu 2020!

Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!

Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif

Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani

Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.

Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:

Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga

Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo

Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud

Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani

Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe

Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo

Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid

Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande

Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor

Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda

Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.

Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Kupewa dola labda kwenda kuibadirisha kwenye maduka ya kubadirisha pesa ila hao wanajiandaa kuwa chama kikuu Cha upinzani baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.!
Then CDM wataendelea kupotea taratibu Kama ambavyo NCCR na TLP zilipotea baada ya miaka kadhaa no watavurugwa kwa viongoz wao wengi kuhamia CHAMA TAWALA.!
Hizi ndio SIASA za AFRICA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom