battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa Chama Cha Mapinduzi;
1.Mwenyekiti wa CCM- John Pombe Magufuli
2.Makamu Mwenyekiti Bara- Phillips Mangula
3.Makamu Mwenyekiti Visiwani- Mohamed Shein
4.Katibu Mkuu CCM - Bashiru Ally
5.Naibu Katibu Mkuu Bara- Rodrick Mpogolo
6.Naibu Katibu Mkuu Visiwani - Abdalla Mabodi
7.Mkuu wa Itikadi na Uenezi - Humphrey Polepole
8.Itikadi na Uenezi Zanzibar- Catherine Peter
9.Mwenyekiti UVCCM Taifa- Henry James
10.Katibu Mkuu CCM Taifa- Mwalimu Raymond
11.Katibu Mkuu Uhusiano wa Kimataifa - Ngemela Eslom Lubinga
12.Katibu Taifa, Masuala ya Uchumi na Fedha - Frank Haule
13.Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi- Edmund Mndolwa
14.Mwenyekiti UWT Taifa- Gaudensia Kabaka
Uongozi wa CCM wakiristo >>>> 78.9%