Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Nashindwa kuwaelewa ambao huwa wanaamini CCM kuanguka kwa kupitia kura za box,Ni ukweli kwamba wananchi kwa asilimia kubwa washaichoka CCM Lakini kutokana na historia ya mfumo wa nchi yetu hakuna Rais atakayekuwa madarakani akakubali CCM idondoke na akiwa upande wa pili ni M/kiti wa CCM kisiasa na vyombo vyote vipo tayari kutii agizo la mwenye nchi yaani Rais, Tanzania wananchi hawachagui Rais wa nchi hili swala watu ni Kama hawalijui ndo Mana zitto aliamua kuchagua kuwa CCM aliyejificha upinzani.
 
Basi sawa N'gwale!!
 
Uko sawa,

Nakumbuka aliwahi kupigwa na kuchaniwa gwanda Nyamongo alipokuwa akitetea wananchi dhidi ya Barrick.

Namuongezea credit!!
 
Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti.

Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Hili sio geni kwake usijifanye kujisahaulisha katika uchaguzi wa mwaka 2020 zile nyomi mlizokuwa mnatuonyesha wakimshangilia huyu jamaa.

Ila kilichotokea kwenye masanduku ya kura sasa ndipo utofauti unaotenganisha kati ya hiko Chama chenu na hiki Chama tawala
 
Ukwendreeee huko usinichagulie cha kuandika ati la 3b nyooolooo na wewe umesoma mpaka wapi?

Hata hiyo la 3b sijaisoma tuseme wewe ndo umesoma mpaka nyuma ya ubao.......bureeeee.

Afu dogo uwe na adabu ukitaja jina JPM ujiheshimu dogo.
Wapo watu wa kitajwa kwa heshima lakini siyo Jiwe
 
Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti.

Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
anashangiliwa au anazomewa nyie yaani hata hamjielewi mnakurupuka tu
 
Watanzania Huwa wanashangilia mambo yote,usiwaamini sana
Umemsahau Mzee wa "ndungaiiiiiiiiiii!utabaki mawinguni" nae walimshangilia,,,,kwa kifupi kushangilia Tz ni njia ya kutoa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…