Nakubali zoezi lilichafuliwa,
Na tuliona wazi kura feki,
Lakini pia ni UKWELI usofichika kuwa ushiriki wa vijana ktk uchaguzi 2020 ulikuwa chini sana.
Data za Nec za waliojiandikisha, waliojitokeza kupiga kura ni chache sana.
Vijana acheni ujinga, maisha ni HALISI Si Bahati, acheni Betting na ulevi, na UZINZI,
Wazazi wamechoka kuzika vijana wao before time!!!
Simba na Yanga mnajitokeza, mkiambiwa changieni harakati za siasa, mnadai nati zimekaza!!!
Tubadilike [emoji120][emoji120][emoji120]
Wanasiasa Wa CCM wanafanikiwa sana kuwapata wapiga kura kutokana na kuijua Vema Siasa ya Tanzania
Wapinzani kuna mahali wanakosea.
Siasa ni mchezo mchafu Kwa nchi iliyojaa viongozi Wala rushwa , wauaji,Wezi, wenye Matumizi mabaya ya Mali za umma,walevi Wa pombe na madaraka na Kila aina ya uchafu.
Kupambana na watu waovu kunahitaji akili na mbinu kubwa sana au kuwakabili Kwa Nguvu kubwa kuliko ya kwao. Muovu ni Kama nyoka ,ukitaka kumuua nyoka ni Lazima utumie mapigo makali na uilenge sawasawa. Nyoka hauawi Kwa kumfinya au kumpapasa. Nyoka ukimpapasa ataleta madhara makubwa na baadae utajuta kuwa ni Bora ungemwacha akaenda ZAKE . Hali kadhalika kupambana na Wagombea na makada Wa CCM ambao WENGI wanalinda Mali zao na madaraka Yao yanayowawezesha kuendelea kujilimbikizia Mali na Mapesa Mengi Kwa Nguvu kubwa .
Hivi Kwa Mfano MTU amehongwa na DPW bil. Tano Kwa wakati mmoja utawezaje kumshinda kirahisi Kwa kupitia sanduku la kura .
Mbunge Wa CCM na waziri au Spika Ana bil. Kumi kibindoni anagombea na KIJANA Wa Chadema anakubalika na mwenye uwezo lakini Hana pesa na Wananchi wanampa kura za kutosha lakini Anaitwa anaambiwa chukua mil.500 niachie Ubunge wangu na anaambiwa Bora uchukue Kama hutaki nitatangazwa tu upende usipende ushindi ni Lazima.
Hapa Namaanisha kwamba ni Lazima Wanachama Wa Chadema washirikishwe kuchangia wagombea wao na wapambe wao KUANZIA wagombea Wa udiwani mpaka uraisi Ili wawe tayari kulinda kura Zao walizopiga lakini kutetea gharama walizoingia kumnadi mgombea wao na akashinda . Wakiamua kuhamasishana wahamsishane Kwa pamoja na Kwa Nguvu kubwa zaidí ya ile ya CCM na Kwa ujasiri mkubwa zaidí.
CCM ni woga sana Wanapoona kuwa maisha Yao yanakaribia kuwa hatarini.
Akipigwa mpinzani mmoja basi nguvu inakua ile ile . CCM WENGI Wana Cha kupoteza na wanaathiriwa sana na ujasiri Wa wapinzani . MTU ana mabilioni NDANI Hawezi kukubali kuchomewa Nyumba.
Kwa vyovyote atakubali Haki isimame.
Lakini Kwa siasa za kuwaacha wapiga kura wenyewe na njaa Zao na wagombea wao bila kupata sapoti ya kifedha Kwa hamasa kubwa hakika CCM haitaondoka madarakani kamwe mana wanamuunganiko mkubwa sana na wale wenye kushika mpini kimaslahi.
Sijui Kwa nini wahenga walisema dawa ya moto ni moto .
Lakini Sheria ya Haki ya asili ikasema jino Kwa jino. Sijui Kwa nini walisema Hivyo. Ila ninachoamini ni kwamba mwizi au kibaka Mtaani anatamba kutokana na woga Wa wale anaowapora. Ni Bora kumkamata kibaka Mmoja na kumtia kiberiti Kisha wizi ukapungua.
Iko hivi ; Kwa tulipofikia nchi Hii inahitaji Rais kutokea nje ya CCM Ili nchi hii izaliwe upya yenye usawa ,Haki na uwajibikaji . CCM wanalindana kuiibia nchi Kwa kiwango kikubwa sana. Halafu hawana hofu Wala woga zaidí ya kujiona kuwa Wana Haki ya kufanya wanachotaka.
Ni Lazima wapinzani Wajipange kisawasawa na kutumia mbinu ya Tofauti .