Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Nakubali zoezi lilichafuliwa,

Na tuliona wazi kura feki,

Lakini pia ni UKWELI usofichika kuwa ushiriki wa vijana ktk uchaguzi 2020 ulikuwa chini sana.

Data za Nec za waliojiandikisha, waliojitokeza kupiga kura ni chache sana.

Vijana acheni ujinga, maisha ni HALISI Si Bahati, acheni Betting na ulevi, na UZINZI,

Wazazi wamechoka kuzika vijana wao before time!!!

Simba na Yanga mnajitokeza, mkiambiwa changieni harakati za siasa, mnadai nati zimekaza!!!

Tubadilike 🙏🙏🙏
Hapa nimejifunza kitu kikubwa sana. Asante kwa changizo lako mkuu
 
Nakubali zoezi lilichafuliwa,

Na tuliona wazi kura feki,

Lakini pia ni UKWELI usofichika kuwa ushiriki wa vijana ktk uchaguzi 2020 ulikuwa chini sana.

Data za Nec za waliojiandikisha, waliojitokeza kupiga kura ni chache sana.

Vijana acheni ujinga, maisha ni HALISI Si Bahati, acheni Betting na ulevi, na UZINZI,

Wazazi wamechoka kuzika vijana wao before time!!!

Simba na Yanga mnajitokeza, mkiambiwa changieni harakati za siasa, mnadai nati zimekaza!!!

Tubadilike [emoji120][emoji120][emoji120]
Wanasiasa Wa CCM wanafanikiwa sana kuwapata wapiga kura kutokana na kuijua Vema Siasa ya Tanzania

Wapinzani kuna mahali wanakosea.
Siasa ni mchezo mchafu Kwa nchi iliyojaa viongozi Wala rushwa , wauaji,Wezi, wenye Matumizi mabaya ya Mali za umma,walevi Wa pombe na madaraka na Kila aina ya uchafu.
Kupambana na watu waovu kunahitaji akili na mbinu kubwa sana au kuwakabili Kwa Nguvu kubwa kuliko ya kwao. Muovu ni Kama nyoka ,ukitaka kumuua nyoka ni Lazima utumie mapigo makali na uilenge sawasawa. Nyoka hauawi Kwa kumfinya au kumpapasa. Nyoka ukimpapasa ataleta madhara makubwa na baadae utajuta kuwa ni Bora ungemwacha akaenda ZAKE . Hali kadhalika kupambana na Wagombea na makada Wa CCM ambao WENGI wanalinda Mali zao na madaraka Yao yanayowawezesha kuendelea kujilimbikizia Mali na Mapesa Mengi Kwa Nguvu kubwa .

Hivi Kwa Mfano MTU amehongwa na DPW bil. Tano Kwa wakati mmoja utawezaje kumshinda kirahisi Kwa kupitia sanduku la kura .
Mbunge Wa CCM na waziri au Spika Ana bil. Kumi kibindoni anagombea na KIJANA Wa Chadema anakubalika na mwenye uwezo lakini Hana pesa na Wananchi wanampa kura za kutosha lakini Anaitwa anaambiwa chukua mil.500 niachie Ubunge wangu na anaambiwa Bora uchukue Kama hutaki nitatangazwa tu upende usipende ushindi ni Lazima.

Hapa Namaanisha kwamba ni Lazima Wanachama Wa Chadema washirikishwe kuchangia wagombea wao na wapambe wao KUANZIA wagombea Wa udiwani mpaka uraisi Ili wawe tayari kulinda kura Zao walizopiga lakini kutetea gharama walizoingia kumnadi mgombea wao na akashinda . Wakiamua kuhamasishana wahamsishane Kwa pamoja na Kwa Nguvu kubwa zaidí ya ile ya CCM na Kwa ujasiri mkubwa zaidí.

CCM ni woga sana Wanapoona kuwa maisha Yao yanakaribia kuwa hatarini.
Akipigwa mpinzani mmoja basi nguvu inakua ile ile . CCM WENGI Wana Cha kupoteza na wanaathiriwa sana na ujasiri Wa wapinzani . MTU ana mabilioni NDANI Hawezi kukubali kuchomewa Nyumba.
Kwa vyovyote atakubali Haki isimame.
Lakini Kwa siasa za kuwaacha wapiga kura wenyewe na njaa Zao na wagombea wao bila kupata sapoti ya kifedha Kwa hamasa kubwa hakika CCM haitaondoka madarakani kamwe mana wanamuunganiko mkubwa sana na wale wenye kushika mpini kimaslahi.

Sijui Kwa nini wahenga walisema dawa ya moto ni moto .
Lakini Sheria ya Haki ya asili ikasema jino Kwa jino. Sijui Kwa nini walisema Hivyo. Ila ninachoamini ni kwamba mwizi au kibaka Mtaani anatamba kutokana na woga Wa wale anaowapora. Ni Bora kumkamata kibaka Mmoja na kumtia kiberiti Kisha wizi ukapungua.

Iko hivi ; Kwa tulipofikia nchi Hii inahitaji Rais kutokea nje ya CCM Ili nchi hii izaliwe upya yenye usawa ,Haki na uwajibikaji . CCM wanalindana kuiibia nchi Kwa kiwango kikubwa sana. Halafu hawana hofu Wala woga zaidí ya kujiona kuwa Wana Haki ya kufanya wanachotaka.

Ni Lazima wapinzani Wajipange kisawasawa na kutumia mbinu ya Tofauti .
 
Nikwambie Kweli,

Vijana wakijitokeza wahuni huiba kura lakini wanashindwa,

Uchaguzi wa 2015 vijana wakijitokeza kuhakikisha Nchi inapata mabadiliko bila kujali ufisadi wa Lowwaaa bt mshindi akawaangusha wapiga kura Kwa kutotoka kudai HAKI ya ushindi,

Tulishuhudia wakichoma kadi za kura na kuapa kutoshiriki tena chaguzi,

So Lissu kama Makamo ajue kuwa vijana kura za Siri hawaziamini tena,

Mkutanoni watakuja, kuja kupiga kura hawaji!!!!

Hilo linahitaji Mbinu za haraka,

2024 Iko mlangoni!!!
Ni kweli kabisa .Inabidi vijana wajengewe moyo Wa ujasiri na moyo Wa Kupinga Wezi popote walipo Ili pawe na makundi mawili Kati ya Haki na dhulma (wema na Uovu) .
Wema ukisimamiwa na watu jasiri utashinda asubuhi kabla ya chai ya Saá nne.
Wema WAKIWA waoga Hata ufalme Wa MUNGU hawawezi kuuona kamwe.

Lisu Tofauti na Lowasa Lisu amechangamka na ni Jasiri kweli kweli.
Na Lisu ni mwanaharakati na mzalendo Wa kweli ámbaye Mungu Siku ZOTE anawatumia watu jasiri kuleta mabadiliko dhulma zinapozidi.
Lowasa Mungu hakuona ujasiri NDANI yake . Mzalendo anakua tayari Hata kufa Kwa ajili ya nchi yake na watu wake.
Lisu ni Mzalendo kweli kweli . Kwa Hali ya kawaida mtu Hata akiparuzwa na risasi Hawezi Tena Kusimama jukwaani na Kupinga utawala mbaya na wabaya wale wale waliompiga .
 
Hajaomba radhi kuwatetea barick hadharani dhidi ya wananchi waliojitutumua kupinga uhuni na uhujumu wa makaburi!!!

UKWELI Huwa unajitetea, ajisafishe pia ktk Hilo!!
Hakuwatetea ila aliionya Serikali kuwa wasivunje mkataba kihuni , watunge Sheria nyingine na wafuate Sheria za mkataba waliowekeana na Bariki Kwa sababu Sheria za kimataifa walizokubaliana Nazo zitalitia taifa hasara kubwa .

Wakajitikeza watu kumpinga Lisu bila vifungu vya Sheria . Lisu akawa anatafuta data kutoka Kwa Bariki na Akasema anaweza Hata kuwa wakili wao na akashinda Serikali . Hapo kosa lake ni lipi kama Wakili Msomi.
MTU anakuonya usipite njia hii Mbele Kuna Simba ámbaye kimsingi alifugwa na na ndugu zako na Sasa amejeruhiwa na Ana njaa ,unamdhrau inapita na baada ya dakika Kumi unasikika ukipiga mayowe ya Kukamatwa na Simba. Unategemea yule aliyekuonya atakimbilia kukusaidia na akiacha kukusaidia umuona kuwa Ana Roho mbaya !! Yaani aje akusaidie mliwe Wote na Simba .
Wenye Chuki ni rahisi kusema kuwa wewe ndiye uliyesababisha .
 
Waliingia kichwa kichwa na wanasheria wao wakukurupuka
 
Lisu Tofauti na Lowasa Lisu amechangamka na ni Jasiri kweli kweli.
Na Lisu ni mwanaharakati na mzalendo Wa kweli ámbaye Mungu Siku ZOTE anawatumia watu jasiri kuleta mabadiliko dhulma zinapozidi.
Lowasa umaarufu wake sijui ulikuuaje kama vile alituloga. Ni jambo gani aliwahi kufanyia Tanzania hadi awe maarufu vile?

Sema alikuwa anatumia pia nyingi kuwapa Influencers na kwa wakati huo tulikuwa tunafata mkumbo bila judgement.
 
Hapa Namaanisha kwamba ni Lazima Wanachama Wa Chadema washirikishwe kuchangia wagombea wao na wapambe wao KUANZIA wagombea Wa udiwani mpaka uraisi Ili wawe tayari kulinda kura Zao walizopiga lakini kutetea gharama walizoingia kumnadi mgombea wao na akashinda . Wakiamua kuhamasishana wahamsishane Kwa pamoja na Kwa Nguvu kubwa zaidí ya ile ya CCM na Kwa ujasiri mkubwa zaidí.
Ni ngumu kumshinda mtu wewe unategemea nguvu ya umma mwenzako ana mabomu mkononi
 
..Na siku za karibuni waliokuwa wakimchafua Lissu watamsafisha wenyewe.

..wananchi wameshaanza kumsafisha Lissu, bado lile genge lililokuwa likilipwa kumchafua.

..Lissu amefika Chato na kuhutubia. Aliwapa wananchi nafasi ya kumzomea, lakini wao wakaamua kumpigia makofi.
Aloo ile ilikuwa aibu kwa ccm na chawa wa magu.
 
Huwa unafuatilia siasa kweli wewe? Umemsikiliza Lissu akiwa Chato na Geita? Kama hujafanya hivyo, endelea tu kusoma comments za watu usikomenti hivi vitu vya ajabu.
Mimi ni wapi nimesema nipo chato nazulula nikimsubiri lissu? Namsubiri hapa kaburini aje atubu huko mitaani hakunihusu.

Afu dogo usinichagulie cha kuandika
 
Wewe naye ni kijana au ndo wale la IIIB?

JPM huyo ndo mdudu gani nchi hii?
Ukwendreeee huko usinichagulie cha kuandika ati la 3b nyooolooo na wewe umesoma mpaka wapi?

Hata hiyo la 3b sijaisoma tuseme wewe ndo umesoma mpaka nyuma ya ubao.......bureeeee.

Afu dogo uwe na adabu ukitaja jina JPM ujiheshimu dogo.
 
Back
Top Bottom