Hii sio vita ya kisiasa, ni vita ya kiroho iliyopangwa mnamo mwaka 1871

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,564
Reaction score
8,810
Wengi wanaangalia migogoro ya dunia ya leo na kudhani ni siasa, nguvu za kiuchumi au mivutano ya kimamlaka.

Lakini Mwaka 1871, Albert Pike aliandika mpango ulioweka ramani ya vita vitatu vya dunia...

• Vita vya Kwanza vya Dunia: Kuharibu falme na kuzalisha Ukomunisti

• Vita vya Pili vya Dunia: Kukuza Uzayuni (Zionism) na kuanzisha taifa la Israeli

• Vita vya Tatu vya Dunia: Kusababisha mvutano mkubwa kati ya Uzayuni na Uislamu, ambao utasababisha anguko kuu la dunia…

Anadaiwa pia kuandika kwamba kutokana na uharibifu huo, dunia itainuka ikiwa imekatishwa tamaa na dini, na kuwa tayari kukubali mafundisho ya Shetani (Lucifer) kama nuru mpya.

Haya si masuala ya kisiasa, ni vita vya kiroho. Ni mpango mkuu wa kuizamisha dunia kwenye machafuko, ili utawala mpya wa dunia uchukue nafasi. (Order out of chaos)

Kila kitu kinaanza kutimia na sasa tupo katika vita ya mwisho.

Another+Albert+Pike.jpg

Albert Pike (December 29, 1809 – April 2, 1891) was an American author, poet, orator, editor, lawyer, jurist and Confederate States Army general who served as an associate justice of the Arkansas Supreme Court in exile from 1864 to 1865.
 
Kuna asilimia ngapi ya wazayuni duniani?

Uislamu na Uzayuni hauwezi kuwa vita kubwa na mvutano mkubwa duniani.. usitudanganye
 
Na mimi naweza kuamini hii post ya jamaa, hiyo ishu ya lucifer IPO ktk Qur'an pia kwani ktk masikunya mwisho ya dunia atatokea kiumbe kuja kupotosha binadamu aitwaye masihi dajjal ambaye na atakuja kupambana na nabii Issa (yesu) kwani nabii Issa ataleta mahubiri ya Mungu na masihi dajjal atajiita yeye ni Mungu, baada ya miaka mingi akishuka Nabii Issa atapambana naye na hatimaye masihi dajjal atauliwa na hapo ndipo utakuwa mwisho wa Dunia na Qiyama kitasimama. Pia ktk vita hii imetabiriwa ktk maandiko kwamba wayahudi watapigwa na kukimbiana, tuombeni mwisho.mwema kwani dalili zote zimeshaonekana.
 
Ila wabongo 😀

Tunajua kila kitu yani, halafu ndo kati ya nchi 20 maskini zaidi duniani, tunauana tu maisha yaendelee😛😛😛😀

bora.jpg

Mzee wetu wasiree wa sisiiemuu kajilaza zake tu anapiga ndoto za nchi ilipotoka....
 
Fafanua hapo kwenye mafundisho ya shetani
Mafundisho ya kishetani huambatana na matendo ya kishetani, mfano jamii ya sasa inafanya ushetani mwingi na kilamtu anajua hilo.

Sasa, itafika wakati mafundisho haya au matendo haya yatazidi kiasi cha kupoteza imani zote za awali, na atakaye pingana na hilo hatabaki salama.
 
Na mimi naweza kuamini hii post ya jamaa, hiyo ishu ya lucifer IPO ktk Qur'an pia kwani ktk masikunya mwisho ya dunia atatokea kiumbe kuja kupotosha binadamu aitwaye masihi dajjal ambaye na atakuja kupambana na nabii Issa (yesu) kwani nabii Issa ataleta mahubiri ya Mungu na masihi dajjal atajiita yeye ni Mungu, baada ya miaka mingi akishuka Nabii Issa atapambana naye na hatimaye masihi dajjal atauliwa na hapo ndipo utakuwa mwisho wa Dunia na Qiyama kitasimama. Pia ktk vita hii imetabiriwa ktk maandiko kwamba wayahudi watapigwa na kukimbiana, tuombeni mwisho.mwema kwani dalili zote zimeshaonekana.
Hilo jambo lipo wazi na wenye kuzingatia wanajua, ila pia tukumbuke dunia imejawa na propaganda za kisiasa ambazo hupumbaza watu.

Lakini vita ya kweli ni vita ya kiroho, na sasa wakati wake umewadia.
 
Niliwahi ku
Wengi wanaangalia migogoro ya dunia ya leo na kudhani ni siasa, nguvu za kiuchumi au mivutano ya kimamlaka.

Lakini Mwaka 1871, Albert Pike aliandika mpango ulioweka ramani ya vita vitatu vya dunia...

• Vita vya Kwanza vya Dunia: Kuharibu falme na kuzalisha Ukomunisti

• Vita vya Pili vya Dunia: Kukuza Uzayuni (Zionism) na kuanzisha taifa la Israeli

• Vita vya Tatu vya Dunia: Kusababisha mvutano mkubwa kati ya Uzayuni na Uislamu, ambao utasababisha anguko kuu la dunia…

Anadaiwa pia kuandika kwamba kutokana na uharibifu huo, dunia itainuka ikiwa imekatishwa tamaa na dini, na kuwa tayari kukubali mafundisho ya Shetani (Lucifer) kama nuru mpya.

Haya si masuala ya kisiasa, ni vita vya kiroho. Ni mpango mkuu wa kuizamisha dunia kwenye machafuko, ili utawala mpya wa dunia uchukue nafasi. (Order out of chaos)

Kila kitu kinaanza kutimia na sasa tupo katika vita ya mwisho.

View attachment 3375685
Albert Pike (December 29, 1809 – April 2, 1891) was an American author, poet, orator, editor, lawyer, jurist and Confederate States Army general who served as an associate justice of the Arkansas Supreme Court in exile from 1864 to 1865.
Soma mahali pia kuwa Mkuu wa Freemason ndiye alitoa maelekezo hayo. Ni kweli inawezekana huo ndio mpango lakini hawataweza kukamilisha hadi Mungu mwenyewe aamue. Kwa sisi tunaofahamu Biblia tunajua ratiba ya dunia Mungu alishaweka. Niwape tu hints:
Vita vya sasa vya Israel vina lengo la kupanua eneo la Israel ili kuwezesha Waisraeli walio ktk mataifa warejee. Maandiko yalishaandika kuwa siku za mwisho Mungu atalirudisha taifa lake Israel ktk eneo lake hapo mashariki ya kati. Hivyo, baada ya vita hivi, amani itarejea na Injili itahubiriwa ktk ulimwengu wote. Iran na nchi za kiarabu zitapata tawala zitakazoruhusu Injili kuhubiriwa. Injili itakapoenea Yesu Kristo atakuja kulichukuwa kanisa na ndipo Mpinga Kristo atachukywa nafasi kutawala ulimwengu.
 
Ndiyomaana nasema ni vita ya kiroho, na haitakiwi kutazamwa kishabiki au kwa kuegemea upande mmoja wa imani yako.

Hakuna aliye salama, si Mkristo wala Muislamu au Myahudi, wote wanapambana na adui mmoja ambaye ni Shetani ambaye mbinu zake ni uchonganishi.....
 
Hilo jambo lipo wazi na wenye kuzingatia wanajua, ila pia tukumbuke dunia imejawa na propaganda za kisiasa ambazo hupumbaza watu.

Lakini vita ya kweli ni vita ya kiroho, na sasa wakati wake umewadia.
Hiv vita ya kiroho unaijua maana yake kamanda?? Au una maanisha vita yenye mlengo wa kiroho?
 
Najua maana yake.

Hii ni vita ya kiroho kwasababu wanaopigana ni binadamu, na adui wa binadamu ni Shetani ambaye ni roho.

Kupigana baina ya mataifa mawili, huchochewa na imani za kiroho, ambapo shetani hupata fursa ya kushuhudia damu za watu zikimwagwa.
 
Back
Top Bottom