Hii sio vita ya kisiasa, ni vita ya kiroho iliyopangwa mnamo mwaka 1871

Shwaitaiin na frimason ni myths zilizobaki bongo tu waliozijua miaka na 2020+ wengine walishaachana na huu usengerema kitambo sana wamefocus kwenye AI na real fact na na data
 
Niliwahi ku

Soma mahali pia kuwa Mkuu wa Freemason ndiye alitoa maelekezo hayo. Ni kweli inawezekana huo ndio mpango lakini hawataweza kukamilisha hadi Mungu mwenyewe aamue. Kwa sisi tunaofahamu Biblia tunajua ratiba ya dunia Mungu alishaweka. Niwape tu hints:
Vita vya sasa vya Israel vina lengo la kupanua eneo la Israel ili kuwezesha Waisraeli walio ktk mataifa warejee. Maandiko yalishaandika kuwa siku za mwisho Mungu atalirudisha taifa lake Israel ktk eneo lake hapo mashariki ya kati. Hivyo, baada ya vita hivi, amani itarejea na Injili itahubiriwa ktk ulimwengu wote. Iran na nchi za kiarabu zitapata tawala zitakazoruhusu Injili kuhubiriwa. Injili itakapoenea Yesu Kristo atakuja kulichukuwa kanisa na ndipo Mpinga Kristo atachukywa nafasi kutawala ulimwengu.
Kwamba huyo Mungu ameshindwa kulipanua taifa la Israel ili watu wake warejee kwa amani bila kuuana...kaamua mauaji ya watu aliowaumba waune ili tu mpango wake utimie?

huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana
 
Mtu anakuambia Israel inapiganiwa na Mungu, sasa unajiuliza Mungu gani huyo anaye halalisha mauwaji ya kinyama dhidi ya wasio na hatia?
 
Mtu anakuambia Israel inaiganiwa na Mungu, sasa unajiuliza Mungu gani huyo anaye halalisha mauwaji ya kinyama dhidi ya wasio na hatia?
Ni Mungu wa upendo au huwa husikii sifa ya huyo Mungu ni upendo?
 
Anadaiwa pia kuandika kwamba kutokana na uharibifu huo, dunia itainuka ikiwa imekatishwa tamaa na dini, na kuwa tayari kukubali mafundisho ya Shetani (Lucifer) kama nuru mpya.
 
Sahihi kabisa, inaitwa New age paganism.
 
Niliwahi ku

Soma mahali pia kuwa Mkuu wa Freemason ndiye alitoa maelekezo hayo. Ni kweli inawezekana huo ndio mpango lakini hawataweza kukamilisha hadi Mungu mwenyewe aamue. Kwa sisi tunaofahamu Biblia tunajua ratiba ya dunia Mungu alishaweka. Niwape tu hints:
Vita vya sasa vya Israel vina lengo la kupanua eneo la Israel ili kuwezesha Waisraeli walio ktk mataifa warejee. Maandiko yalishaandika kuwa siku za mwisho Mungu atalirudisha taifa lake Israel ktk eneo lake hapo mashariki ya kati. Hivyo, baada ya vita hivi, amani itarejea na Injili itahubiriwa ktk ulimwengu wote. Iran na nchi za kiarabu zitapata tawala zitakazoruhusu Injili kuhubiriwa. Injili itakapoenea Yesu Kristo atakuja kulichukuwa kanisa na ndipo Mpinga Kristo atachukywa nafasi kutawala ulimwengu.
Contradiction tupu hizi!

... 'Injili itakapoenea Yesu Kristo atakuja kulichukuwa kanisa na ndipo mpinga Kristo atanyakuwa nafasi kutawala ulimwengu'!

Wadhani Yesu atalichukua Kanisa bila Kiyama?

Na mpinga Kristo atatawala bila kuwepo waKristo watakaokuwa wamechukuliwa na Masihi?

Ama labda kuna tafsiri zingine za terminolojia hizo, lakini kama ndivyo ulivyofasiri na kuiweka maana halisi, basi tuna kazi ndefu sana katika kusoma na kuelewa mafundisho ya dini!
 
Back
Top Bottom