Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Ila wabongo 😀
Mafundisho ya kishetani huambatana na matendo ya kishetani, mfano jamii ya sasa inafanya ushetani mwingi na kilamtu anajua hilo.Fafanua hapo kwenye mafundisho ya shetani
Hilo jambo lipo wazi na wenye kuzingatia wanajua, ila pia tukumbuke dunia imejawa na propaganda za kisiasa ambazo hupumbaza watu.Na mimi naweza kuamini hii post ya jamaa, hiyo ishu ya lucifer IPO ktk Qur'an pia kwani ktk masikunya mwisho ya dunia atatokea kiumbe kuja kupotosha binadamu aitwaye masihi dajjal ambaye na atakuja kupambana na nabii Issa (yesu) kwani nabii Issa ataleta mahubiri ya Mungu na masihi dajjal atajiita yeye ni Mungu, baada ya miaka mingi akishuka Nabii Issa atapambana naye na hatimaye masihi dajjal atauliwa na hapo ndipo utakuwa mwisho wa Dunia na Qiyama kitasimama. Pia ktk vita hii imetabiriwa ktk maandiko kwamba wayahudi watapigwa na kukimbiana, tuombeni mwisho.mwema kwani dalili zote zimeshaonekana.
Kweli mbabe lazima atapatikana, lakini ni baada ya mtifuano na machafuko makubwa.Acha wachapane tupate mbabe
Soma mahali pia kuwa Mkuu wa Freemason ndiye alitoa maelekezo hayo. Ni kweli inawezekana huo ndio mpango lakini hawataweza kukamilisha hadi Mungu mwenyewe aamue. Kwa sisi tunaofahamu Biblia tunajua ratiba ya dunia Mungu alishaweka. Niwape tu hints:Wengi wanaangalia migogoro ya dunia ya leo na kudhani ni siasa, nguvu za kiuchumi au mivutano ya kimamlaka.
Lakini Mwaka 1871, Albert Pike aliandika mpango ulioweka ramani ya vita vitatu vya dunia...
• Vita vya Kwanza vya Dunia: Kuharibu falme na kuzalisha Ukomunisti
• Vita vya Pili vya Dunia: Kukuza Uzayuni (Zionism) na kuanzisha taifa la Israeli
• Vita vya Tatu vya Dunia: Kusababisha mvutano mkubwa kati ya Uzayuni na Uislamu, ambao utasababisha anguko kuu la dunia…
Anadaiwa pia kuandika kwamba kutokana na uharibifu huo, dunia itainuka ikiwa imekatishwa tamaa na dini, na kuwa tayari kukubali mafundisho ya Shetani (Lucifer) kama nuru mpya.
Haya si masuala ya kisiasa, ni vita vya kiroho. Ni mpango mkuu wa kuizamisha dunia kwenye machafuko, ili utawala mpya wa dunia uchukue nafasi. (Order out of chaos)
Kila kitu kinaanza kutimia na sasa tupo katika vita ya mwisho.
View attachment 3375685
Albert Pike (December 29, 1809 – April 2, 1891) was an American author, poet, orator, editor, lawyer, jurist and Confederate States Army general who served as an associate justice of the Arkansas Supreme Court in exile from 1864 to 1865.
Ndiyomaana nasema ni vita ya kiroho, na haitakiwi kutazamwa kishabiki au kwa kuegemea upande mmoja wa imani yako.Niliwahi ku
Soma mahali pia kuwa Mkuu wa Freemason ndiye alitoa maelekezo hayo. Ni kweli inawezekana huo ndio mpango lakini hawataweza kukamilisha hadi Mungu mwenyewe aamue. Kwa sisi tunaofahamu Biblia tunajua ratiba ya dunia Mungu alishaweka. Niwape tu hints:
Vita vya sasa vya Israel vina lengo la kupanua eneo la Israel ili kuwezesha Waisraeli walio ktk mataifa warejee. Maandiko yalishaandika kuwa siku za mwisho Mungu atalirudisha taifa lake Israel ktk eneo lake hapo mashariki ya kati. Hivyo, baada ya vita hivi, amani itarejea na Injili itahubiriwa ktk ulimwengu wote. Iran na nchi za kiarabu zitapata tawala zitakazoruhusu Injili kuhubiriwa. Injili itakapoenea Yesu Kristo atakuja kulichukuwa kanisa na ndipo Mpinga Kristo atachukywa nafasi kutawala ulimwengu.
Hiv vita ya kiroho unaijua maana yake kamanda?? Au una maanisha vita yenye mlengo wa kiroho?Hilo jambo lipo wazi na wenye kuzingatia wanajua, ila pia tukumbuke dunia imejawa na propaganda za kisiasa ambazo hupumbaza watu.
Lakini vita ya kweli ni vita ya kiroho, na sasa wakati wake umewadia.
Najua maana yake.Hiv vita ya kiroho unaijua maana yake kamanda?? Au una maanisha vita yenye mlengo wa kiroho?
Pia tusisahau, chanzo au kiini cha vita hii kuu ya tatu ni ardhi ya Palestina, ardhi tukufu ambayo ili uitawale dunia lazima iwe chini yako, na Zionists wanajua hilo.