Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

inaonekana na ww mbinguni huendii😂😂
 
Safi kabisa mkuu mi kuna dem nilimuelewa juzI kati tu akaanza kunipiga vizinga mara kodi mara cm mbovu mara nilipie king'amuzi nikampandia hewani nkamwambia tuufute huu mpango coz umeanza kuniomba ela mapema mno mpaka nishakuchoka
Ukijumlisha hizo gharama zote bora uingie zako telegram, badoo au tinder unajichagulia malaya pisi kali kuliko huyo unapiga naye one night stand unaenjoy mautundu ya kila aina
 
Hali inasikitisha sana aise..

Wewe unatoka kutafuta furaha na yeye anatoka kuitafuta furaha yake 💔💔very Sad.

Mambo haya hayanaga utaratibu Woi
 
Hili nalo ni la kuleta jukwaani kweli? Ninyi vijana mliobalehe juzi taabu kwelikweli.
 
Lazima ujitafari wewe kwanza mkuu, jiulize kabla yako alikua analipiwa na nani hizo huduma hadi akubebeshe wewe mizigo isiyokuhusu? Ukipata jibu unajichenga bila hivyo utaishia kupigwa kabari hadi akili ikukae sawa,
Kaka mi nashukuru Mungu huwa siongozwi na kichwa cha chini maisha na malengo yangu ni muhimu zaidi huyo mwanamke awezi kukupenda usipokuwa na pesa so tutafute pesa tuweke maisha vzr
 
Lazima ujitafari wewe kwanza mkuu, jiulize kabla yako alikua analipiwa na nani hizo huduma hadi akubebeshe wewe mizigo isiyokuhusu? Ukipata jibu unajichenga bila hivyo utaishia kupigwa kabari hadi akili ikukae sawa,
🤣🤣🤣
 
10k tu tafta hela mkuu
 
Ni dhahiri kwamba huyo mwanamke bado amekukaa kichwani mwako mpaka umeamua kuja kumfungulia Uzi.
Cha kufanya tafuta hiyo elfu kumi Kisha mpigie Simu aje ghetto kuuchukia.Then kuanzia hapo utajiongeza mwenyewe.
 
Unaambiwa firisika uijue tabia yake, mwanamke tabia yake hujionyesha wazi kwa mwanaume asie na pesa (aliefirisika), ukiwa na pesa kuna tabia hua anazificha kwanza anaangalia na kuupima upepo wako unaelekea wapi, au nasema uongo?
Kweli mkuu mi kuna mchaga flani kanipiga chini coz aliniomba 300k aongezee mtaji wake afungue saloon nikamwambia saiz sina pesa aisee alilalamika akaniambia yani wewe kila siku huna ela akakata cm baada ya hapo sijawahi ona cm yake huu mwez wa pili sasa
 
Sisi wabongo kwenye hili tuna fail sana hatuna hata date mnatoka na kujuana kwanza je mnaendana au kuna matamanio tu ya kutest mitambo. Ndio maana na mwanamke anaanza kabisa kuchukua chake ili ukipata chako usipopenda kisha beba stahili zake ila wewe utegemee aje tu pwaaa halafu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…