Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Rafik, wewe ulikua na mpango nae wowote?

Hapana, bahati nzuri sana mimi nilikuwa sija-fall in love kwa huyu mdada, nlikuwa nataka nifanye naye ngono tu, then nimwache, ningekuwa nampenda aisee, sahiv rohoni ningekuwa nimejaa simanzi zito. Kelsea
 
Kumbe ulitaka kupiga na kusepa [emoji2] alishtukia mchezo akaona ajiongeze mapema.
 
Kumbe ulitaka kupiga na kusepa [emoji2] alishtukia mchezo akaona ajiongeze mapema.
Hahaa yeye kunishtukia kuwa mm nataka kupiga na kusepa, hiyo sio sababu, kama ingekuwa Kweli mm ni type ya mwanaume anayemtaka, angeendelea na mimi ili aone mwisho wake.

Sijazaliwa jana, few years ago kuna mdada nlivomtongoza aliniambiaga eti anavoniona mm, akinikubalia nitamla hlfu nitasepa, wakati Mm najua kabisa yeye anagawa papuchi kwa kidume mwingine, kichwani nkajisemea nina mwonekano wa kiboya, ila mm sio boya.. Kelsea
 
Yaan nachomaanisha huyo bidada hajakuelewa wala nini ndio sababu hata kukuomba hela mapema hajaona aibu. Mwenzako kajiongeza mapema kaomba hela wewe umeshtuka umekaza na yeye papuchi atakukazia niamini mimi [emoji23]
 
Wanaume wa miaka hii ndo sampuli hizi 😂😂😂😂😂
 
Yeah ni kweli, Mungu asaidie tuweze kulea vitoto vyetu pamoja hadi tuzeeke
Kukoseana,kusameheana na kufichiana madhaifu…kikubwa zaidi kuombeana.Mungu huonekana katikati ya magumu mengi.

Michepuko mingine nuksi sana
 
Kukoseana,kusameheana na kufichiana madhaifu…kikubwa zaidi kuombeana.Mungu huonekana katikati ya magumu mengi.

Michepuko mingine nuksi sana
Ni kweli, hasa michepuko ikikuona una vimali mali ndiyo balaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakimbia mwanamke kwaajili ya elfu 10. Mungu waepushe mabinti zetu wasije kukutana na watu wa aina yako.
 
kwa sura hiyo na hela huna atakupenda nani ???
 
Mzee mwenzangu,elfu kumi tu inakutoa nduki?,Hiyo ungeweza tu kumpa hata km huna time nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…