Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Ungemtumia hyo alfu 10,halafu unampigia unamfundisha namna ya kudanga
 
Sijaelewa ulichoandika,na ulitaka kusema nini,...lakin nnauhakika wewe ni form two D
 
Vyama na vikoba havimuchi mtu salama,wenye wake sisi na vipato vya kuunga kataza kabsa mkeo kwenye iyo mbanga.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana uzoefu upo.

๐Ÿ˜๐Ÿ˜nimefurahi tu anko dereva.

Hujambo lakini uliyembali na upeo wa jamii forums

Hahah ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š wenyewe wanasema ng'ombe hazeeki maini na nyani mzee kakwepa mishale mingi...

Kwa sasa mimi ni bukheri wa afya otherwise hadi pale weye nesi aunt abiria wangu utaposema nahitaji drip...
 
Hahah ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š wenyewe wanasema ng'ombe hazeeki maini na nyani mzee kakwepa mishale mingi...

Kwa sasa mimi ni bukheri wa afya otherwise hadi pale weye nesi aunt abiria wangu utaposema nahitaji drip...
Hakika Kwa ile comment yako si mikuki tu bali hata nyundo umezikwepa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Nafurahi kusikia hivyo๐Ÿ˜๐Ÿ˜hapa nilipo ni buheri wa afya iliyotele kabisa.

๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜.
 
Tatizo ni elfu 10[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Muwage na nyie mnajiongeza, mwanamke anaeomba hela day one huyo ana yake. Mwanamke akikuelewa kweli hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
Kujiongeza kwa maana ipi? Au akiomba hela na ww omba papuchi? Au una maana nyingine ya kujiongeza?
 
Kujiongeza kwa maana ipi? Au akiomba hela na ww omba papuchi? Au una maana nyingine ya kujiongeza?
Kujiongeza kwa maana ya kutambua hapa hamna upendo. Mwanamke akikuelewa/akikupenda hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ