Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Wadada sasa hivi wamezidi sana , unakutana na mtu leo just casually as a friend, kesho unaanza kuombwa hela like serious. Sio kitu kizur kwa mtu ambaye ndio kwanza mnafahamiana. Imekuwa too much sana.
Muwage na nyie mnajiongeza, mwanamke anaeomba hela day one huyo ana yake. Mwanamke akikuelewa kweli hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
 
Simp culture is real
 
Wadada sasa hivi wamezidi sana , unakutana na mtu leo just casually as a friend, kesho unaanza kuombwa hela like serious. Sio kitu kizur kwa mtu ambaye ndio kwanza mnafahamiana. Imekuwa too much sana
Akiomba pesa mpe na wewe usikawie mwombe K, akizingua kukupa utamu achana naye.

Hao wanaoomba pesa muwe mnawatreat kama malaya mpe hela omba mzigo
 
Tukiombaje ombaje ndio inakuwa sana?

Ninyi wanaume mkiachwa hamkumbukii, unajua fika umekaa week 2 hujampa hata mia.. afu huyo huyo akikuomba mnakasirika
Bora umwombe mtu Mtaji wa biashara akupe kuliko hii ya kuomba kidogo kidogo Kila siku.

Baada ya hapo najua utakuwa na utimamu hata wa kujifunza style mpya ya kumfurahisha mwenzio ๐Ÿ™ˆ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Asante...na hatuwataki wa style hiyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ afu mwanaume anatoa hela consciously sio kwa kulazimishwa yan...in short hatupendi kuombwa ombwa hata kama mtu unazo.
Ni sawa
Tatizo mkiachwa mnajisahau

Ingawa watoaji wa zile za suprise wapo ๐Ÿ˜
Likely mnachat kawaida, mara unasikia ti tii.. kamuamala

Ila kuna hizo chalii za Herode ๐Ÿ™Œ
Ukinyamaza wala hajiongezi ๐Ÿ˜‚
 
Bora umwombe mtu Mtaji wa biashara akupe kuliko hii ya kuomba kidogo kidogo Kila siku.

Baada ya hapo najua utakuwa na utimamu hata wa kujifunza style mpya ya kumfurahisha mwenzio [emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]
Mtaji? Si ndio tutaachwa kabisa [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ