Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Ndoa hizi jamani 🥹🥹

hili nimeliona mara nyingi.ni kweli
 
Alfu kumi unaiona ndogo wenzako alfu tatu tu wanapaza sauti hadi mishipa ya shingo inawatoka na wengine wanamwaga uchozi kisa alafu tatu tu nini alfu kumi, jichunguze mkuu
Huyo anaongea upuuzi gani mkuu mimi juzi kuna dem aliniomba elfu2 niliumia sana mpaka nikaja kumuandikia uzi humu
 
Huyo anaongea upuuzi gani mkuu mimi juzi kuna dem aliniomba elfu2 niliumia sana mpaka nikaja kumuandikia uzi humu
Aschukulie kawaida hakuna pesa ndogo, hata mia ina thamani ndio maana bila mia hakuna alfu 10 itakua alafu 9 na mia 9,
 
Ndoa hizi jamani 🥹🥹

hili nimeliona mara nyingi.ni kweli
Yaliyomo humo ndani ni shida, watu wanaishi kwa lengo la kulea watoto tu huku wanasindikiza siku.

Furaha, Amani na upendo vyote vimeyeyuka. Kwahiyo hapo mtu anatoka kuvitafuta.

Tena ukutane na Kigori Mmoja mtundu 🙈 hapo mtu anajiweka miaka ila sharti huyo binti ajue kutulia na asiwe na mambo mengi tu
 
Safi kabisa na saiz wanawake wamekuwa na njaa sana usipokuwa makini unafilisika
Lazima utumie kichwa chako vizuri namaanisha kichwa kinachokuwezesha kufikiri na kuchanganua mambo kwa ufasaha sio kichwa cha kujistarehesha dakika 10 au 20 au 30 alafu unabakia empty unanuka madeni,
 
Hahaa hapo sawa kama uko na malengo naye. Katika gharama ambazo haziumizi ni zile za kuspend na mwanamke ambaye una malengo naye unampenda kikweli na yeye akawa amekuelewa
 
Lazima utumie kichwa chako vizuri namaanisha kichwa kinachokuwezesha kufikiri na kuchanganua mambo kwa ufasaha sio kichwa cha kujistarehesha dakika 10 au 20 au 30 alafu unabakia empty unanuka madeni,
Safi kabisa mkuu mi kuna dem nilimuelewa juzI kati tu akaanza kunipiga vizinga mara kodi mara cm mbovu mara nilipie king'amuzi nikampandia hewani nkamwambia tuufute huu mpango coz umeanza kuniomba ela mapema mno mpaka nishakuchoka
 
Lazima ujitafari wewe kwanza mkuu, jiulize kabla yako alikua analipiwa na nani hizo huduma hadi akubebeshe wewe mizigo isiyokuhusu? Ukipata jibu unajichenga bila hivyo utaishia kupigwa kabari hadi akili ikukae sawa,
 
fala umeuza mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…