KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ukweli ndiyo huu, kila mtu ana kufuli, swali lake binafsi na funguo PIN ya kufungulia.Tunapo feli mtihani wa maisha ni kukopiana wakati kila mtu anazaliwa na swali lake.
Na haya mawazo yanatolewa bar mtu anapiga bia za 30k anatoka hapo anapitia samaki wa 20k anapeleka nyumbani "siku imeisha" kesho yupo tena bar.aya mawazo yako ndio watu huwa mwishoe hawajengi kabisa,
Kweli kabisa watu wanataka kiwanja cha 20*20 kwa mil 15 wanasahau hata huko vinakouzwa miaka 8 nyuma maeneo hayo yalikua yanauzwa ekari moja kwa laki 5.Watu wengi wanateseka kwa sababu hawataki kukubaliana na uhalisia wa mambo kwa nyakati alizopo na ubinafsi baada ya kufanya mambo kwa ajili ya faida ya kizazi chako baada ya kujiwazia mwenyewe...
Sema sasa nje ya mji kwa sasa utapelekwa mbali mnoo..sio chanika tena ni mkuranga hko au tuseme kigambon ndani ndani huko.
umeona eeh,Na haya mawazo yanatolewa bar mtu anapiga bia za 30k anatoka hapo anapitia samaki wa 20k anapeleka nyumbani "siku imeisha" kesho yupo tena bar.
Huyu kipato chake kiko vizuri. Anawaza akikaa pembezon mwa mji hatakula bata. Na ndo wengi wao hata kujenga ni shida.
Uiifuatisha mawazo ya huyu inakula kwako
wakati mwingine unaakili ungekuwa ccm ungekuwa diwaniKupata kiwanja cha kujenga nyumba hasa katika prime area ni changamoto kubwa kwa sisi tunao safiri kuelekea uchumi wa kati. Unakuta pango la mwezi unapokaa ni 350, 000, ukipiga hesabu kwa miaka miwili unaona ni kheri ujenge ya kwako...
Mimi bora nipange kuliko kuishi kwenye pagare aiseeHiz habar za kujenga nyumba ndog kwanza halaf et tutajenga kubwa baadae mimi nilishayakataa....unajenga kijumba cha kisela af matokea yke unajikuta unazeekea humo...kwanin usijipe muda tu ukiinuka unainuka mzima mzima?...
Puna, Pembamnazi kote shamba ila kuzuri sana ukiwa haswa na usafiri. Hakuna foleni!😂😂😂😂kigamboni buyuni aiseee kule utasema unaenda zanzibar
buyuni 20x20 mil2.5Puna, Pembamnazi kote shamba ila kuzuri sana ukiwa haswa na usafiri. Hakuna foleni!
Everyday is Saturday.............................. 😎
Ahahaha...kwel mkuu ila mimi nilikua radhi huwezi amin..sema inategemeana pia na persepective ya definition ya pale..this varies😁😁 au unaonaje?mimi bora nipange kuliko kuishi kwenye pagare aisee
Kupata kiwanja cha kujenga nyumba hasa katika prime area ni changamoto kubwa kwa sisi tunao safiri kuelekea uchumi wa kati. Unakuta pango la mwezi unapokaa ni 350, 000, ukipiga hesabu kwa miaka miwili unaona ni kheri ujenge ya kwako...
Nyinyi ndio wenye support za wazazi/walezi.mimi bora nipange kuliko kuishi kwenye pagare aisee
Na hawa huwa wanawaponza wengi sana wanaotokea familia za kimasikini.Akili kumkichwa kama una uwezo kidogo nunua kiwanja hata porini jenga baada ya miaka 5 unaweza kuta kiwanja ulichonunua kwa 1.5m kinauzwa 15m. Kwa wakati huo utakua mjini. Kuna watu wanajidai kua hawawezi kuhama katikati ya mji but wana vyanzo vizuri vya hela. Wengine wana support toka kwenye familia zao.
Hilo pagare linawasitiri wengi......haliwezi kua pagare milelemimi bora nipange kuliko kuishi kwenye pagare aisee
Ni kwa wapi huko mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kigamboni buyuni aiseee kule utasema unaenda zanzibar
Cha muhimu nibarabara ya kufika huko na pia kukaa porini peke yako unaweza kuvamiwa na majambazi. Angalia idadi ya waliohamia.Tena huko pembeni mwa mji unaweza pata kiwanja kikubwa sana kwa mil 6 au 7 cha muhimu ni kuangalia huduma za muhimu zinapatikana na unaweza fika kwenye shughuli zako kwa wakati.
Tumeishi na watu wanafanya biashara hazieleweki leo maandazi kesho mihogo baadae matunda mara anauza icecream.. anajenga porini huko na nyie na mishahara yenu mnabaki kupanga.Watu wengi wanateseka kwa sababu hawataki kukubaliana na uhalisia wa mambo kwa nyakati alizopo na ubinafsi baada ya kufanya mambo kwa ajili ya faida ya kizazi chako baada ya kujiwazia mwenyewe...
Waliojenga maporini ndo wapo mjini sasa. Kuna ndugu yangu mwaka 2007 alienda kujenga chanika porini tena alipata kiwanja 45*90 kwa 900,000tulimcheka sana. Sasa yupo mjini ana nyumba na frem za maduka.
Sisi bado tunakomaa na tunataka viwanja vya mil 15 tena kwa mkopo
Fainali uzeeni.