Emmaloy
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 216
- 229
Waliojenga maporini ndo wapo mjini sasa. Kuna ndugu yangu mwaka 2007 alienda kujenga chanika porini tena alipata kiwanja 45*90 kwa 900,000tulimcheka sana. Sasa yupo mjini ana nyumba na frem za maduka.
Sisi bado tunakomaa na tunataka viwanja vya mil 15 tena kwa mkopo/
Fainali uzeeni.
Asa mtu unajenga Chanika, utasema upo mjini.?