Hii style ya kupakana rangi vidoleni baada ya kupiga kura tuikatae wanaume wote

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,521
Reaction score
46,663
Wakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani?
Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni..

Mimi kama mwanaume nakataa hii na siwezi tena kurudia kufanya UJINGA huu wa kupiga kura, nawakumbusha Tu chama chetu pendwa CCM kuwa Sisi sio wake zenu Hadi mtupake rangi vidoleni pia Sisi sio mabibi harusi zenu Hadi mtuchore Hina.
Watanzania no reforms no election ni ufunuo MUNGU ametupa ili tuachane na ndoa hii ya CCM
 
Screenshot_20250608-144930.jpg
 
Nimepiga kura miaka yote kuanzia sekondari Tena nikiforce umri ulikuwa bado mwaka 2000...kura za urais madiwani na wabunge niliowahi kuwapigia kura hawajawahi kushinda...nilikuwa nawaona wajinga sana wasiopiga kura...Ila leo nimeshukuru CDM Kusema no reform no election ...kwa Mara ya kwanZa nitakuwa na ratiba tofauti na kupiga kura siku ya uchaguzi...
 
Wakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani?
Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni..

Mimi kama mwanaume nakataa hii na siwezi tena kurudia kufanya UJINGA huu wa kupiga kura, nawakumbusha Tu chama chetu pendwa CCM kuwa Sisi sio wake zenu Hadi mtupake rangi vidoleni pia Sisi sio mabibi harusi zenu Hadi mtuchore Hina.
Watanzania no reforms no election ni ufunuo MUNGU ametupa ili tuachane na ndoa hii ya CCM
Ww c n mwanaccm, kubali kuolewa tuu
 
No reforms no election
 
Msipoteze muda kuharibu mishe zenu bure walishaamua hakuna uchaguzi sasa mnaambiwa mkapige kura ili iweje, tume yakwao polisi wakwao vifaa vya kwao sasa kama wewe sio zuzu unaenda kufanya nini? chukua jembe kalime hata bustani utakuja kunishukuru baadae, wakajichague wenyewe na wajiongoze wenyewe.
 
Kabisaa mkuu
 
Back
Top Bottom