PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Ww c n mwanaccm, kubali kuolewa tuuWakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani?
Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni..
Mimi kama mwanaume nakataa hii na siwezi tena kurudia kufanya UJINGA huu wa kupiga kura, nawakumbusha Tu chama chetu pendwa CCM kuwa Sisi sio wake zenu Hadi mtupake rangi vidoleni pia Sisi sio mabibi harusi zenu Hadi mtuchore Hina.
Watanzania no reforms no election ni ufunuo MUNGU ametupa ili tuachane na ndoa hii ya CCM
Ndoa imevunjika mkuuWw c n mwanaccm, kubali kuolewa tuu
No reforms no electionWakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani?
Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni..
Mimi kama mwanaume nakataa hii na siwezi tena kurudia kufanya UJINGA huu wa kupiga kura, nawakumbusha Tu chama chetu pendwa CCM kuwa Sisi sio wake zenu Hadi mtupake rangi vidoleni pia Sisi sio mabibi harusi zenu Hadi mtuchore Hina.
Watanzania no reforms no election ni ufunuo MUNGU ametupa ili tuachane na ndoa hii ya CCM
Kabisaa mkuuMsipoteze muda kuharibu mishe zenu bure walishaamua hakuna uchaguzi sasa mnaambiwa mkapige kura ili iweje, tume yakwao polisi wakwao vifaa vya kwao sasa kama wewe sio zuzu unaenda kufanya nini? chukua jembe kalime hata bustani utakuja kunishukuru baadae, wakajichague wenyewe na wajiongoze wenyewe.