Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

Badala ya Kusumbua wananchi NHIF ihangaike na hizo hospitali, kwanini huduma ilele kwa cash iwe na bei tofauti na mtu anaetumia bima.
 
Kwahiyo ukiwa safarini Dodoma au mwanza ukiugua lazima urudi Dar? Kuiba waibe wao halafu lawama na mateso kwa wananchi![emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Bima ni ponzi scheme....

Yaani ni upatu

Waliowahi wanalipwa mliochelewa ndio mnabeba hasara yote

Serikali inafeli sana aisee
 
Sasa nimeamini Tanzania ni NCHI yenye UCHUMI wa KATI na WANANCHI wake Wametoka kwenye UMASIKINI mkubwa na UNYONGE na Kuifanya TANZANIA haina tena MASIKINI wala WANYONGE.
UTHIBITISHO wa hayo ni pamoja na Wananchi kumudu Gharama mbali mbali zilizopo kwa mfano
1.TOZO mbalimbali
2.Gharama za Bidhaa mbalimbali kama Sukari Mchele Mafuta ya kula Unga n.k
3.Bei ya Petroli kupanda na Kupandisha Gharama za Usafiri na Usafirishaji Bidhaa
4.Kutokuongezwa Mishahara kwa Watumishi lakini Wanachapa kazi
5.Bei ya PEMBEJEO kuwa kubwa lakini Wakulima Wanazimudu
Nawapongeza Wananchi kutoka kwenye Unyonge na Umasikini.
CCM Oyee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…