dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Yaani kukuomba bando tu umeamua kuniandikia thread π₯Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani
Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa
Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda mrefu kuliko mm
Utakuwa lishangazi la vizinga na unaishi kwa vizinga, maana si kwa hasira hizo kwa mdauYaani kuombwa bando tu Hadi umekuja na Uzi.......ukiombwa figo utatoa kweli WEWE
EBU kua kama mwanaume,
Wanaume ma rijali hawako hivyo.
π€£π€£π€£π€£Utakuwa lishangazi la vizinga na unaishi kwa vizinga, maana si kwa hasira hizo kwa mdau
Watoto wa elfu 2000 wameingiaje hapo?Huyo member anatuaibisha au ni zao la 2000
Acheni utapeli bhnakamsemee Kwa mamako
Ana chura?Aisee wakuu moyo wangu umemdondokea Single Mama fulani anayeishi karibu na ninapoishi. Yaani kanichanganya hatari. Tayari nimeshamtongoza na mwelekeo sio mbaya. Kesho nitatoka nae Dinner jioni. Tafadhalini mnishauri ILA KATIKA USHAURI WENU SITATAKA KUONA MTU ANASEMA NIACHANE NA SINGLE MAMA WALA KAULI NYINGINE YENYE NIA OVU.
Hahaha yaani Ni lishangaz la visinga hili amaenitukna snaUtakuwa lishangazi la vizinga na unaishi kwa vizinga, maana si kwa hasira hizo kwa mdau
wanakuonea etiπππWatoto wa elfu 2000 wameingiaje hapo?
mmmwaaaaaaahhhhHaya tema tumchape
Uko wapi kwa Sasa Wenda ukawa Ni weweYaani kukuomba bando tu umeamua kuniandikia thread π₯
Je ningekuomba chakula,?
Haya bhna ,ngoja nimtafute rafiki mwingine wa kunisaidia
Hayanihusu mimi sijazaliwa elfu 2! Ninawatetea tu hao madogowanakuonea etiπππ