Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

Hahah we muunge gb kadhaa bana acha uduanzi wanawake mara tiktok mara insta fb mb hazikai lazima aombe za akiba
Ni wajibu wake kupangilia matumizi yake kulingana na uwezo wake. Kuwa mwanamke sio ulemavu au justification ya kuwa ombaomba
 
KIjanja huyo anakuomba dyudyu! Jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…