Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanii nakuja kwako week ijayoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiukweli kwa maisha tuliyo nayo sasa inapendeza mgeni akija aje kwa taarifa.
Ni asiyeelewa tu namna dunia imefikia wapi kwa sasa ndo ataona ye mgeni akija tu kwake bila taarifa ni sawa.
Hawa hawa tunaowaamini wengi wamekuwa mwiba kwa baadhi ya familia hasa baada ya kuja bila kuwa na vya msingi vilivyowaleta.
Kuna makabila hawapendi kwao, atakuwa mmojawapoJam
Jamaa mbona una hasira dhidi ya ndugu zako wallikufanya nini mpaka unawaitia Mijitu?
Mkuu Jaribu kuwa Mnyenyekevu basi.
Hao unaowadharau ipo siku utawakumbuka na hutawaona.
Kama huwezi kumsaidia mtu basi achana naye ila usimpe majina mabaya eti Mijitu.....Itakuwa wewe Kweli Umeolewa maana hizo hasira tu sio kidogo.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanamke. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.Binafsi nawaelewa hawa watu wanaokimbia ndugu. Nauzoefu wa kuishi na ndugu nawajua. Ndugu miyeyusho sana wengi ni ndugu lawama na hawana shukran sio mbaya ku keep distance.
Sema mm nimenyimwa tu hiyo roho, atakama nikidhamilia kumkataa mtu akitia huruma tu kidogo nimeingia kingi. Bas nimeamua kufanya tu sehemu yangu na kusaidia pale napoweza kwa ajili tu ya amani ya nafsi yangu.
Ila kiukweli hamna faida yoyote nayopata tena unaweza kuta wewe unaye saidia ndo unajina baya huko kijijn kuliko asiye saidia kabisa. Yaan basi tu kwasababu roho ya ukauzu sina ngoja n bak hivi mjinga machoni pao maana kulazimisha tabia ambayo huna ni kujiadhibu
Mwiba Gani huo? AU hawaondoki kurudi kwao?Kiukweli kwa maisha tuliyo nayo sasa inapendeza mgeni akija aje kwa taarifa.
Ni asiyeelewa tu namna dunia imefikia wapi kwa sasa ndo ataona ye mgeni akija tu kwake bila taarifa ni sawa.
Hawa hawa tunaowaamini wengi wamekuwa mwiba kwa baadhi ya familia hasa baada ya kuja bila kuwa na vya msingi vilivyowaleta.
Hilo neno ulilomaliza nalo hapo mwisho linadhihirisha wewe ni chocol (shoger)Mbaya zaidi MTU akishakaa kwako siku akiondoka huko anakofikia Ni kumsema mkeo vibaya.
Mara jamaa kaolewa maana yule mke Ni mvivu. Mke mchoyo, mke anadharau n.k
Kumbukeni mke wangu Ni pambo la nyumba yangu, sio MTU wa kusonga ugali kwa ajili ya mijitu ya kijijini.
Mke wangu ashindwe kunilisha vipaja vya kuku kisa Kuna mgeni au mke wangu asiwe na Uhuru wa kujiachia nyumbani kwake kisa mgeni!
Kwendreni huko.
Mliozaliwa kijijini Mna tabu kweli Alhmdullillah familia yangu yote ipo townHii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.
Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.
Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.
Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.
Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.
Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanamke. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.
Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimi. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko nitamlipia ada.
Alilia sana anataka arudi Dar. Nlimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
Nimegawa likes kama njuguHii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.

Huwezi ukawaacha ndugu zako barabarani