Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

Kama kweli hauna kisasi nao hongera, n vizuri kuwaelewa watu na maisha yao bila kujipa umuhimu kwenye maisha yao. Kikubwa ni kuishi maisha yako kwa amani na usibebane na visasi. Kuna watu hali kama hiyo ikitokea ndio sababu ya chuki wazi wazi na kukomoana.
 
Kuchimba kaburi ni kazi yenye kuhitaji malipo kwa sehemu nyingi.

Bila hela kaburi halichimbwi na pia lazima pombe iwepo ya kutosha.
 


Haya makaburi yaliyojaa misitu na magugu pori yaliyokomaa ndugu zao wako wapi?

Hawa yatima wanaodhulumiwa, kunyanyaswa na kutengwa mpaka kutelekezwa ndugu za wazazi wao wako wapi?


Hawa ombaomba na watoto wa mtaani wote hawana ndugu?



Tujifunze kuwa na mipaka na kuheshimu mipaka ya wenzetu, mawasiliano katika maamuzi yanayomuhusisha/yanatakayo muathiri mtu mwingine ni lazima.






Japo kumtelekeza ndugu kituoni sio vizuri, kheri umtafutie usafiri wa kurudi hapo hapo ama haraka iwezekanavyo.
 
Hata mume ni rahisi kuvumilia mapungufu ya ndugu zake. Ndo maana ndugu wakogombana ni bota ukae pembeni..ukiingilia unaaibika mchana kweupe kwasababu watapatana. Na wewe uliyeingilia unakuwa adui yao.
 
Dada mbona umepanic sana? Ulishatendwa? Mi nimeandika kuwapa watu taarifa ukisupport na usipo thread yangu inabaki na hivi unasaidia comments zinakuwa nyingi. Umekalia mjiti vibaya jishike dada.... simu ni yangu i can switch anytime i want to. And its my home i am free to welcome or not welcome anybody. Ndo muwe makini msitake surprise za kipuuzi.
 
Kinachosikitisha zaidi, ndugu wa mke, wakija haina shida, Ila ndugu wa mume ndo wanalalamikiwa sana, hauwezi kumzimia simu ndugu yako huo ni upumbavu
Ni upumbavu kudhani unachowaza wewe na wengine wanawaza.. simu ni yangu mtu akinisumbua its either na mblock au nazima nipumzike. Acheni kuja kujipendekeza kwa mashemeji zenu. Mnatusumbua sana nyie wa bush.
 
# Hata dar mbn ni mikoani
# Wewe una asili ya roho mbaya - wewe mbn ukienda kijijini huwa unafika kwa kila ndugu?
Roho Mbaya yangu ... Ipake rangi iwe nzuri. Nikifika Mkoani zipo Hotels na Lodges sitaki shida na mtu wala maneno maneno. Roho Mbaya ninayo sana... Shetani huwa ananionea wivu kwa roho mbaya yangu
 
Kuchimba kaburi ni kazi yenye kuhitaji malipo kwa sehemu nyingi.

Bila hela kaburi halichimbwi na pia lazima pombe iwepo ya kutosha.
Kiuhalisia ni pesa tu hakuna ambaye hajawahi zikwa sababu eti hakuwa anakaribisha kila ndugu mjini. Hapa Dar mil 1.8 unachimbiwa kaburi, unazikwa linajengewa. Simple like that.
 
Pole,
 
[emoji419][emoji419]
 
acha roho mbaya mjinga we,siku ukipata shida hata huyo mke wako aliyekuoa atakukimbia,ngoja uumwe tu au upate uchizi uone kama huyo mke wako haja wapigia ndugu zako njooni mmchukue ndugu yenu amechizi,raha umekula na mke wako ukipata shida wanatafutwa ndugu zako,pumbafu we limbukeni mkubwa
 
Ni ujuha kutelekeza ndugu, be tumelelewa kwenywe extended family tusiji isolate, na wanaume tulivyowapumbavu tunaweza kukomaa kwa ndugu zetu lakini ndugu wa mke wakala mseleleko, tukawasomesha ndugu wa mke lakini wa kwetu tukawaweka pembeni ni ujuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…