Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.

Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.

Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.

Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.

Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.

Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.




Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanamke. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.

Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimia. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko, nitamlipia ada.

Alilia sana anataka arudi Dar. Nilimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
we mshamba hata Dar ni mkoa km mikoa mingine, ulifika lini huko? Hiyo inasababishwa na umaskini wa ukoo wako uliouacha nyumbani, vinginevyo hakuna mtu mwenye uwezo na uelewa wake ashobokee sehemu ya hovyo kuishi km DSM. Dar ndio inategemea kwa kila kitu huko unakokuita mikoani sasa mtu mwenye akili zake afuate nini huko, shida? We umetokea mkoa gani kwanza maana ulivyo mshamba unaona km umesgafika mbinguni. We kima usijerudi kutuandikia huu uozo
 
Dada mbona umepanic sana? Ulishatendwa? Mi nimeandika kuwapa watu taarifa ukisupport na usipo thread yangu inabaki na hivi unasaidia comments zinakuwa nyingi. Umekalia mjiti vibaya jishike dada.... simu ni yangu i can switch anytime i want to. And its my home i am free to welcome or not welcome anybody. Ndo muwe makini msitake surprise za kipuuzi.


Kwa maneno haya ni bora hao ndugu zako wa kijijini kuliko wewe, kila la heri kijana, na kumradhi sana kukukosea.
 
Mbaya zaidi MTU akishakaa kwako siku akiondoka huko anakofikia Ni kumsema mkeo vibaya.

Mara jamaa kaolewa maana yule mke Ni mvivu. Mke mchoyo, mke anadharau n.k

Kumbukeni mke wangu Ni pambo la nyumba yangu, sio MTU wa kusonga ugali kwa ajili ya mijitu ya kijijini.

Mke wangu ashindwe kunilisha vipaja vya kuku kisa Kuna mgeni au mke wangu asiwe na Uhuru wa kujiachia nyumbani kwake kisa mgeni!

Kwendreni huko.
Mkeo ana tako?
 
we mshamba hata Dar ni mkoa km mikoa mingine, ulifika lini huko? Hiyo inasababishwa na umaskini wa ukoo wako uliouacha nyumbani, vinginevyo hakuna mtu mwenye uwezo na uelewa wake ashobokee sehemu ya hovyo kuishi km DSM. Dar ndio inategemea kwa kila kitu huko unakokuita mikoani sasa mtu mwenye akili zake afuate nini huko, shida? We umetokea mkoa gani kwanza maana ulivyo mshamba unaona km umesgafika mbinguni. We kima usijerudi kutuandikia huu uozo
Dada umepanic sana.... umekalia mjiti vibaya... Ndo maana huwa mnaolewa wote kwa sababu hiyo hiyo ya kushobokea watu wa mjini.
 
Anatuharibia huyu, mnakaribishwa sana Dar es salaam, huyu atakuwa anakaa huko mbali na mji anaona aibu watu kufika kwake.

Dar es salaam sio mji bora hata kuishi, ni mahali tu nakuja kutafuta tu maisha, ila umri ukienda tunarudi Mbarali kupigwa baridi huko.
Nyie ndo watu JF huwa mnadai mna maisha mazuri sana humu....
 
Back
Top Bottom