Hii tabia Musoma inakera sana

Wewe hakuna wa kiume wa wa kike hapo. Kwenye swala la kuombana vinywaji sehemu za starehe ni ujinga sana tena hao wamezidisha "eti kumiminiana..eeeh". Hata mm sikubaliani na hao omba omba. Kuliko kukaa na kuomba omba si wakatafute hela huko[emoji849]
Wanapokuomba au Kukugongea huwa wanakulazimisha uwape au ni Hiari yako tu? Kuna Watanzania wenzetu ni Wapumbavu kuliko mnavyojijua.
 
Attention seekers mna shida sana....

Ni nchi nzima ya Tanzania ipo hivyo sababu ya umasikini uliotopea...hii kujifaragua ni Musoma tu ni namna fulani ku-undermine eneo na watu wake

Nchi nzima ni ombaomba...usibague!
Kweli hili ni tatizo la nchi nzima. Tofauti ni kuwa kila sehemu wanatumia mtindo wao. Inaelekea hiyo sehemu mtindo uliopitishwa ni huu wa kuomba kupunguziwa kinywaji. Sehemu nyingine nako kuna njia nyingine. Hata hivyo usimlamu mleta mada kwani amejaribu tu ku-share nasi aliyokutana nayo. Inawezakana kabisa hajui kuwa ni tatizo la nchi nzima.
 
Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
Alifanikiwa kumpata mkuu naomba mrejesho
 
Alifanikiwa kumpata mkuu naomba mrejesho
Aliniletea Pisi moja Kali sana ya kikurya imeenda hewani, white, nyuma imejenga mzigo wa kawaida sana ulio ktk viwango ninavyovitaka, kwenye mgegedo Pisi inazungusha nyonga balaa, kwa kifupi ni fundi sana kwenye hyo tasnia.......

Lakini.....
Lakini.....
Lakini.....

Nilimuomba namba kwa matumizi ya wakati mwingine akaniambia hana simu....!!!!

Jina lake aliniambia anaitwa Joyce, sasa sijui alinidanganya au ni jina lake kweli.
 
Basi yaishe ndugu yangu, usiwe na hasira hvyo... January hii itaisha tu tutarudi kwenye mstari.....

By the way Leo weekend njoo Calabash na kikombe....tutakunywa bia
 
Wee jamaa umasikini usikufanye utetee uhalifu

A crime is a crime no matter who commits it
 
Piga kazi mtoto wa kiume acha kulialia

The world owes you nothing
 
Wanazunguka na chombo kuomba vinywaji!!! Naona jambo la ajabu na geni kweli kwangu... sijui ni kwavile siendagi hizo sehemu (kumbi) za starehe au vipi ila sikatai maana...

Kuna katabia kanakofanania na hako tunakutana nako sana migahawani kwa mama lishe hasa hasa mikoa ya ukanda wa pwani

Wamama/wadada wanaouza vyakula wakiona umeenda mteja ambae ni kijana aisee utajuta! Maana mtu anakupimia (anakuuzia) chakula halafu anakwambia yeye ana njaa ikiwezekana umnunulie na yeye chakula

Haitoshi unamuagiza kinywaji (maana mara nyingi ukienda mgahawani basi huduma zingine nyingi kama siyo zote wanakufanikishia wao- mamalishe) basi na yeye anadai kinywaji au chenji ya kinywaji

Haishii hapo bado wakati wa kuondoka unalipia msosi anakupa chenchi lakini huku anakushawishi usamehe jero akapate maji baridi duh!!![emoji38][emoji38][emoji38]

Halafu tabia hiyo naona imeshamiri hasa kwenye migahawa yenye wahudumu zaidi ya mmoja. Unakuta mama mtu mzima (mara nyingi ndiye boss mmiliki wa biashara) halafu kunakuwa na binti au wadada na hao ndo wenye tabia ya kuomba omba sasa sijui hawalipwi vizuri na boss wao

Tena mara nyingi wanafanya hayo kimya kimya yule mama mtu mzima (boss) asisikie wala kuelewa kinachoendelea
 
Itakuwa hili ni miongoni mwa hayo maomba omba maana naona limetokwa povu la hela yote hapa!!! Hapo hapo ingetokea wanawekewa madawa kwenye vilevi hivyo na kutekwa ungelalama hapa

Acha ujinga... umeambiwa sehemu (kumbi) za starehe, maana yake wanaokwenda wanakwenda kujiburudisha wamejipanga sasa wewe kijana umeshaini kabisa unabeba glasi mkononi kwenda kugongea pombe hapo si una matatizo wewe!!?

Halafu eti unasema ndio wote tulivyo ila utofauti ni 'vya kuomba' na 'wa kuombwa', ajabu kwelikweli.

Yaani ufananishe ninavyomuomba Mola aninyooshee njia zangu za maisha na huyo anayeomba pombe alewe akalale au akatukane watu (maana anakunywa tu bila utaratibu pombe yoyote atakayopewa yeye twende)

Au ufananishe anayeomba chakula ale apate nguvu ya kutafuta riziki na huyo anayeomba pombe alewe mpaka ashindwe kufanya kazi za uzalishaji mali

Au ufananishe ombaomba wale walemavu wanaotumikishwa na yule mama pale jijini ili wapate chakula, mavazi na malazi ya bure na huyu anayeomba pombe alewe akatambie wenzake kuwa leo kanywa za bei ghali

Hicho ni kitu ambacho hakiwezekani mzee hao wamezingua sana tu wala usitetee ujinga. Kama unataka starehe huna budi kugharamia jombaa STAREHE GHARAMA
 
Mkuu wewe umeenda Musoma gani hiyo?
Miaka kadhaa iliyopita mimi nilienda klabu mitaa ya Mukendo.
Nilichoona hapo nilitoka nduki

Kulikuwa na disko na vimwana kedekede.
Ile naanza bia ya kwanza nikaona purukushani kwenye kona fulani na vijana wanagombea bibi.
Mara nikaona kijana kashika kitu kinang'ara na anampiga mgomvi wake, kumbe kisu.

Aisee..........mbio nilizotoka nazo hapo usiseme!!!
 
Wale ni watu na wanataka kula kama wengine,ni jukumu lao kujitafutia chakula hata kama nikuua wewe..




Soma hiyo comment yako hapo juu

Halafu tena pia hapo hapo umejicontradict mwenyewe

Watu wanaongelea kuomba pombe wewe ukaingiza habari za chakula

Nasemaje THE WORLD OWES YOU NOTHING
 
Tanga, Moro, Dar, Mbeya na Mwanza sijaiona hii tabia.
Hii ndio mikoa nimeingia kwenye kumbi za starehe bila kukutana na hao ombaomba wa vinywaji.
Kwa huku mwanza ni vice vesa yaani wadada ndio waomba vinywaji,atajisogeza karibu na kuanzisha story za uongo na kweli kisha ataomba bia, hii hunitokea mara nyingi na last time niko zangu las Vegas nakula vyombo usiku dada mmoja kanishobokea eti twende diamond kule ndio kuna amsha amsha,nikamuangaliaaaaa nikamuuliza kwani tulikuja wote mimi na yeye!!
 
Aisee halafu unakuta ni dume zima linakaa linalialia kupewa vya bure

Linaraise hoja za kitoto tu eti oh sijui mbona hata nyie mnaomba wtf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…