Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa.
Hii hali siipendi basi tu. Mola akinijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha.
Wanamama Muda mwingine hudhan tunapenda kubanana na kuelekezeana maumbile yetu hapana! Tatizo kule maeneo umeme unawaka haraka Sana akili inapopata taarifa za uwepo wa kitu laini sehemu zile. Kwenye mwendokazi ndio usiseme.
Kuna siku nilitoka kwenye mwendokazi nikainama kama nafunga kamba za kiatu kumbe nambinya Mkuu wa chini atulie niendelee na Safari.
Siku nyingine ilibidi ninunue gazeti nikiwa natembea nizibe mzigo usionekane. Hakuna siku ambayo wazungu walitoka japo haitabiriki lini nitajichafua. Sipendi itokee. Hakuna mwanamke niliyekusudia kumvutia hisia ila inatokea wanagusisha wenyewe