Hii Tabia siipendi, unapanda kwenye daladala mwanamke anagandisha makalio kwenye mkwaju

Hii Tabia siipendi, unapanda kwenye daladala mwanamke anagandisha makalio kwenye mkwaju

Nliwahi panda moja natokea makumbusho naenda mbagala, mdada hukirudi nyuma anazd kusogea[emoji23]sikukereka ila nilipenda na namba nkapewa,, [emoji16]

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa.

Hii hali siipendi basi tu. Mola ainijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha.

Wanamama Muda mwingine hudhan tunampenda kubanana na kuelekezeana maumbile yetu hapana! Tatizo kule maeneo umeme unawaka haraka Sana akili inapopata taarifa za iwepo wa kitu laini sehemu zile. Kwenye mwendokazi ndio usiseme.

IPO siku nilitoka kwenye mwendokazi nimeinama kama nafunga kamba za kiatu kumbe nambinya Mkuu wa chini atulie niendelee na Safari
Wakiileta usawa wa Mashine isukumizie yote sawa? Si Kaitegesha Mwenyewe?
 
Back
Top Bottom