Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa.
Hii hali siipendi basi tu. Mola ainijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha.
Wanamama Muda mwingine hudhan tunampenda kubanana na kuelekezeana maumbile yetu hapana! Tatizo kule maeneo umeme unawaka haraka Sana akili inapopata taarifa za iwepo wa kitu laini sehemu zile. Kwenye mwendokazi ndio usiseme.
IPO siku nilitoka kwenye mwendokazi nimeinama kama nafunga kamba za kiatu kumbe nambinya Mkuu wa chini atulie niendelee na Safari