Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

Ni kitu cha upendo na kizalendo Kwa taifa
 
Uzi wa kindezi Sana huu kwa mtu anayejiita Msomi πŸ‘ŽπŸ‘ŽπŸ‘Ž
 
sasa kama hawana kazi za kufanya unataka wasiende? lazima waende maana kupokea viongozi ni kazi pia yenye posho.
 
Kwakweli nimesmo comment natokwa chozi. Kiukweli hakuna mahali popote kwenye Katiba palipo na elekezo ilo wala katika miongozo yoyote ya mchi hii isipokuwa utamaduni huu ameuanzisha Magufuri na genge lake hovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…