Hii tabia ya kukamata mtu na kumpeleka mahakamani alafu unasema upelelezi ujakamilika tatizo ni nini

Hii tabia ya kukamata mtu na kumpeleka mahakamani alafu unasema upelelezi ujakamilika tatizo ni nini

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka.

Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
 
Muda wa kukaa Rumande kisheria ni masaa 24. Na baada ya hapo wakuachie kwa dhamana kama kosa linadhaminika au waendelee kukushikilia.

ila mlolongo sasa baada ya hapa ndio mrefu.

Maana kesi inatakiwa iwe imepewa mpelelezi, na awe ameshakamilisha upelelezi. Awe ameshakuhoji na akuambie kosa lako. Akupe onyo. Usaini. Na apeleke maelezo kwa ofisi ya Mashtaka.(DPP) nao Wapitie maelezo, warekebishe sehem Mpelelez alipokosea, warudishe file kwa mpelelezi na ndio sasa mtuhumiwa apelekwe mahakamani.

umeona huo mlolongo?.
ni wa siku ngap?.
hii kusema upelelez haujakqmilika ni njia nyingne ya kusema kuna process haijakamilika.

maana ukikaa rumande bila kupelekwa mahakamani ni kosa kisheria. Kwahiyo wanaonesha nia ya kukushtak while Ofisi ya mashtaka inapitia maelezo yako ili kuona vifungu gan vitakuhukumu.
 
Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka.

Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
Swala la kufuata utaratibu kwa polisi halipo kwa sasa wanakamata ovyo bila utaratibu wala kisheria inavyotaka, ndio maana wakifika mahakamani hawana cha kusema wanasema upepelezi haujakamilika na kukupotezea muda tu. sasa walimkamata ili iweje, au wajionyeshe kwa mabosi zao wanafanya kazi vema hili swala linanikera sana. ndio maana ni kazi ya laana kila mtu anailaani
 
Hivi si walisema bongo wataanzisha National Bureau of Investigation nje ya Polisi, limeishia wapi!?
 
Back
Top Bottom