Hii tabia ya kukata pesa pembeni, inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

Siku moja nasafiri jmaa katoa mia tano mbili ikawa buku afu kaitupa mdoni. Kwa kweli sikumwelewa.
Hii kwetu ipo sana, watu wakifika 'darajani' mtoni wanatupia 'coin' sarafu kwenye maji... nilishangaa sana kuona hivyo kuuliza wanasema wanatoa mikosi na kuomba neema ziwapate.
 
Siyajui yote hayo,ongea na watu uvae viatu
 
Back
Top Bottom