Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

Swali la kuuliza ni kwamba mtu aweke bomu au misumari ndani ya hizo kanga au majani ili iweje kwani kiongozi anayepita tayari ni marehemu. Hilo bomu limuue mara ya pili? Hizo jitihada zitakazotumika kukagua vitu vya hatari hazilingani na faida ya kutokana nazo.
 
Jf ya siku hizi hakuna great thinkers
Mtoa maada Yuko sahihi kuwaza hivyo lakini watu hawajamwelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…