Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
 

Magufuli hatukanwi, analezwa jinsi alivyokuwa
 
Vipi haya mawazo hayakuwa yako wakati wasaka vyeo wa mwendazake wakimtukana Kikwete? Ila hata hivyo hayanihusu, wacha wenye nyumba muendelee kutafunana.
 
Well.mwizi au jambazi hawa waliminywa Sawa sawa
 
Wewe kinyago hata kama huguswi na hao waliouwawa au kupotea fahamu wana watoto,wenza, wazazi, wajomba, mashangazi, marafiki walioguswa na madhila hayo.
 
Mawazo ya taahira mwendazake yalikuwa ni kuutokomeza ukanda wa pwani, kaskazini masharaki na nyanda za juu kusini kwenye shimo la ufukara
 

Huyo unayemtetea alikuwa dhalimu, Na hakuna ccm yoyote unayoitetea huku jamvini zaidi ya kutetea ukatili na uhayawani wake. Na hiyo ccm unayojifanya unaitetea haipo bali ni nguvu ya dola tu ndio pona yenu.
 
Alikuwa ni dhalimu na mshamba wa kutupa, tunashukuru Mungu Kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…