Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Mkuu hebu lete hayo matusi ili nikuunge mkono hoja yako
 
Kama kuna makosa yalifanywa na uchunguzi ufanywe ili kubaini ukweli ili yasije kujirudia, ni sawa na msemo usemao MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA.
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Yoote haya kwa kuwa Nape kasema mikopo aliyokopa kisiri ichunguzwe ?!. Unahangaika na gunia la misumari .
 
Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu, Roma, wanahusika vipi na umaskini wako wa miaka 60 wewe kinyago?
Watoto wao wananihusu nini we kima mknd...
Usilete huruma za kinafiki kwenye maslahi mapana ya Taifa.

Uliwazaa wewe? Toa unafiki wako hapa...
Mao Zedong wa China ni moja ya alama waliiachia China na kuifanya ifike pale,..

Nchi inanuka umasikini, wananchi watoa kodi wanaumizwa na washenzi wachache waliotunisha wake zao makalio kwa pesa za wanyonge... halafu linatokea lijinga kutetea ushenzi.. hata kama ni mie nakufutia juu kwa juu pmbv

Unajua utendaji mbovu, rushwa jinsi ulivyopoteza maisha ya wa Tanzania masikini?

Nchi ambayo bado mnatongoza wapiga kura kwa kuwadanganyia vyoo na madawati inahitaji mkono wa chuma na mtu kama JPM...
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Kwanini unaplay VICTIM?!!!

Hivi kuna mwanaCCM haswa....kindakindaki.....aliyeiva itikadi bora ya CCM akaufunua mdomo wake KUMTUKANA kiongozi yeyote wa CCM?!!!

Yaani kabisa mwanaCCM huyo amtukane ALIYEPATA kuwa MWENYEKITI WAKE WA CHAMA na RAIS WA JMT?!!!

Nakataa huyo si mwanaCCM wa ITIKADI......

Humu JF kipindi cha UTAWALA WA AWAMU YA 5 tulikuwa wote....bega kwa bega na UONGOZI WA AWAMU HIYO NA CCM YAKE ila cha ajabu "wanahesabika mno" wanaoendeleza ADA ileile....wako waliomuacha AMIRI JESHI mh.Rais SSH na kuanza kumshambulia na KUMKEBEHI....wanajulikana humu!!!

Wako wanaomshambulia kwa DHIHAKA NA KEDI El Comandante hayati JPMRip)....nao wanajulikana humu!!!!

Waliobaki KATI.....wanajulikana humu......

My take : Tuache UNAFIKI
CCM ipo kabla ya hayati JPM na itaendelea kuwepo baada ya utawala wa mh.Rais wetu SSH.....

Tujikumbushe UTII KWA CHAMA NA UTII KWA MWENYEKITI WETU NA RAIS WA JMT🙏

#SIEMPRE JMT
#SIEMPRE SSH
#NCHI KWANZA
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Mama ongeza volume kidogo
 
Hii vita ya makundi manne wote wanataka keki ya taifa kuna sukuma gang (ccm new generation wasaka tonge wakujipendekeza ) na kuna Mataga ( wafia chama wemekunywa maji ya bendera ya ccm ) na kuna wapinzani uchwara ( chadema ACT ,Cuf ,nccr ) na wanaharakati uchwara wa kule twitter na FB . Mungu ibariki tanzania
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Eleza ni akina CM 1774858 hao
 
Alikuwa ni mshamba na dhalimu kwa washenzi wachache mliozoea vya bure na kuwakandamiza wanyonge, alikuwa dhalimu kwa washenzi ambao walitumika kuchelewesha maendeleo...

Alikuwa dhalimu pia kwa wale.waliotetea ushenzi, wakaonywa hawakusikia...
Mta refer Lissu na Saanane, wewe una chungu sana na Lissu ameoa kwenu?

Acheni unafiki, hakuna mchezo kwenye masuala na maslahi mapana ya taifa... ukicheza wanalala na wewe, ni serikali zote duniani zenye maendeleo..

Magufuli ni raisi bora wakati wote...
Kama usivyowaonea uchungu waliopotezwa enzi zake . Wengine nao hawawezi kujisikia upweke kumkosa. Binaadamu tunafanana kama hunionei huruma kwanini utake heshima kwangu ?!
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Embu ondoa hiyo shisho kwenyejina lako alafu tekeleza ukimaliza sema mitano tena (mibao)
Huo ndio mchango wangu kwenye Uzi huu wakijinga
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Pasua kama mba nguvu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ni kwamba wote wanaomtukana wanatumia miundo mbinu iliyosimamiwa na Magufuli.
 
Alikuwa ni dhalimu na mshamba wa kutupa, tunashukuru Mungu Kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Pamoja na yote hayo kashiriki ujenzi wa barabara karibia zote zilizounganisha nchi ambayo unatumia wewe.
 
Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu, Roma, wanahusika vipi na umaskini wako wa miaka 60 wewe kinyago?
Hao uliowataja walikuwa na mchango kwa kiasi katika nchi
 
Back
Top Bottom