Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Acha kupasuke tuu tutakiynga na R.dite au silcon
 
Kama mama au shemeji yako alifukuzwa kazi kisa cheti fake na mlikua mnamtegemea ukoo wenu, kwa nini usimuone Magu ni shetani?

Kawanyoosha kiukweli...
Apumzike kwa amani shujaa.. RIP JPM
Ukichukia chukua jembe upalilie bustani...
Amejinyoosha yeye mwenyewe na alivyovikamia kaviacha .
 
Magufuli ndo alikuwa bingwa wa kuwatukana watangulizi wake mara aseme " wanawashwa" Huku akina Musiba wakimtukana wamtakae na walikuwa hawagusiki haswa,,,Acha na yeye atukanwe natamani angekuwepo asikie
Kusema wanawashwa washwa ni tusi kwani?
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
kwan ccm ikifa kuna tatizo? Ikipasuka vipande hata buku kuna tatizo gani? Mi siwez kulia kwa hill
 
Hela alizitafuta yeye? Ye kapewa urais kaenda kugombana na wahisani
Hela kwani zilianza kupatikana leo. Sababu za yeye kushiriki kusimamia ujenzi ni kwamba anaweza. Utaishi kutegemea wahisani Hadi lini, huwezi kuvumilia Unyonyaji unaoona ni dhahiri Kisa unategemea wahisani.Aliyesema mtegemea cha nduguye hufa maskini siyo Magufuli
 
Hata mimi ningekuwa na madaraka bado ningejenga barabara tena zenye ubora kuliko za kwake, na nisingeendekeza siasa chafu. Labda useme alijenga hizo barabara substandard kwa mshahara wake.
Ndo hivyo hujajenga sasa subiria muda wako wa kujengwa ukifika ujenge hizo za standard unazitegemea. Kwa sasa tumia hizo unazoona Zina ubora wa chini. Kwahiyo ulitegemea barabara zikusubiria wewe kutoka kusikojulikana?
 
Nina uchungu nae na nitamkumbuka daima, alileta mabadiliko ya kweli yaliyoleta athari chanya hasa kwa wananchi masikini walipa kodi, waliokandamizwa kwa miaka mingi...

Nina uchungu kwa sababu alikuwa ni mzalendo wa kweli mwenye kuona mbali na mtu wa aina yake haswa katika kufanya maamuzi..

Nitamkumbuka kwa sababu alikuwa si mtu wa kujivuta, mtu wa kazi na mzalendo wa kweli, mwenye msimamo na ambae hakufanya maamuzi kuwaridhisha na kuwafurahisha wachumia tumbo...

Mnalalamika nini kuhusu tozo?
Mnalalamika nini kuhusu gharama za maisha?
Mnalalamika nini ujambazi ulivyoongezeka kila kona ya nchi?
Mnalalamika nini wenye vyeti fake kurudi kazini?
Mnalalamika nini ?

RIP Magu, hakuna kama Magu....
Miaka 60 ya uhuru bado mnasaidiwa ujenzi wa vyoo na akina Billgate, si upumbavu huo?

Toa ujinga wako hapa na cheti chako fake...
Mkuu niruhusu nitumie maneno yote isipokuwa hapo chini kwenye paragraph ya mwisho,
JPM is THE HERO MAN,

Wala halina ubishi, alitaka kuifanya tz kuwa nchi mpya, alitaka kutengeneza kizazi kinachoipenda nchi yake, alitaka kuifanya nchi kujitegemea kwa kila kitu, Ni dhambi kubwa Tena wakati mwingine Ni upumbavu kuomba msaada kwa kile kitu ulicho na uwezo nacho,

Sasa tazama nw days tunaomba mpka kujengewa hospital, et mpka umeme!! Halafu tunatoa na amri kabisa zisiliwe,shame to us, tukubali tu kunamahali fuez imechoko,

Kwa kizaz hiki, hatutaweza kuwa na The man who can make decision for the benefits of his citizens.. waliopo wengi wanaangalia tumbo na kupeana vyeo, halafu unajiuliza et mtu mkamba Nae wazr.... Duh aya bhana ngoja tuone
 
Nina uchungu nae na nitamkumbuka daima, alileta mabadiliko ya kweli yaliyoleta athari chanya hasa kwa wananchi masikini walipa kodi, waliokandamizwa kwa miaka mingi...

Nina uchungu kwa sababu alikuwa ni mzalendo wa kweli mwenye kuona mbali na mtu wa aina yake haswa katika kufanya maamuzi..

Nitamkumbuka kwa sababu alikuwa si mtu wa kujivuta, mtu wa kazi na mzalendo wa kweli, mwenye msimamo na ambae hakufanya maamuzi kuwaridhisha na kuwafurahisha wachumia tumbo...

Mnalalamika nini kuhusu tozo?
Mnalalamika nini kuhusu gharama za maisha?
Mnalalamika nini ujambazi ulivyoongezeka kila kona ya nchi?
Mnalalamika nini wenye vyeti fake kurudi kazini?
Mnalalamika nini ?

RIP Magu, hakuna kama Magu....
Miaka 60 ya uhuru bado mnasaidiwa ujenzi wa vyoo na akina Billgate, si upumbavu huo?

Toa ujinga wako hapa na cheti chako fake...

Hizi propaganda mfu tuna uwezo wa kuzichanganua na sio jinsi mnavyotaka tuelewe. Kama unadhani kila mtu aliamini sifa za kijinga alizokuwa anamwagiwa basi umeukalia. Alikuwa dhalimu na mlevi wa madaraka fullstop.
 
Ndo hivyo hujajenga sasa subiria muda wako wa kujengwa ukifika ujenge hizo za standard unazitegemea. Kwa sasa tumia hizo unazoona Zina ubora wa chini. Kwahiyo ulitegemea barabara zikusubiria wewe kutoka kusikojulikana?

Barabara nchi hii zimejengwa toka enzi za ukoloni, hivyo hatuoni haja ya sifa za kijinga eti kuna mtu kazijenga, wakati ni fedha za umma na sio hela za peasant yoyote.
 
5336409F-7FF1-4A1C-83A6-C06E07A16271.jpeg

Saidia Musiba aweze kuwalipa mabilioni yao akina Fatma Karume na Bernard Membe.

Kutesa kwa zamu, enzi za Musiba zimeisha huu ni wakati wa wengine.
 
Barabara nchi hii zimejengwa toka enzi za ukoloni, hivyo hatuoni haja ya sifa za kijinga eti kuna mtu kazijenga, wakati ni fedha za umma na sio hela za peasant yoyote.
Onyesha takwimu hizo barabara zilizojengwa kabla ya Magufuli kuwa waziri na barabara zilizojengwa akiwa waziri+ Akiwa rais
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
Unapambania mzoga uliokwisha liwa na funza? Vumilieni kama wao walivyovumilia matusi ya yule shoga Musiba. Sisi wengine kwetu ni vicheko tu mafisi mnavyoparurana, ingependeza zaidi mkauana kabisa ili Taifa letu lipone. Mashetani wakubwa nyie.
tapatalk_1575089448362.jpg
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Kwanini unaplay VICTIM?!!!

Hivi kuna mwanaCCM haswa....kindakindaki.....aliyeiva itikadi bora ya CCM akaufunua mdomo wake KUMTUKANA kiongozi yeyote wa CCM?!!!

Yaani kabisa mwanaCCM huyo amtukane ALIYEPATA kuwa MWENYEKITI WAKE WA CHAMA na RAIS WA JMT?!!!

Nakataa huyo si mwanaCCM wa ITIKADI......

Humu JF kipindi cha UTAWALA WA AWAMU YA 5 tulikuwa wote....bega kwa bega na UONGOZI WA AWAMU HIYO NA CCM YAKE ila cha ajabu "wanahesabika mno" wanaoendeleza ADA ileile....wako waliomuacha AMIRI JESHI mh.Rais SSH na kuanza kumshambulia na KUMKEBEHI....wanajulikana humu!!!

Wako wanaomshambulia kwa DHIHAKA NA KEDI El Comandante hayati JPMRip)....nao wanajulikana humu!!!!

Waliobaki KATI.....wanajulikana humu......

My take : Tuache UNAFIKI
CCM ipo kabla ya hayati JPM na itaendelea kuwepo baada ya utawala wa mh.Rais wetu SSH.....

Tujikumbushe UTII KWA CHAMA NA UTII KWA MWENYEKITI WETU NA RAIS WA JMT[emoji120]

#SIEMPRE JMT
#SIEMPRE SSH
#NCHI KWANZA
.
JamiiForums-1896768696.jpg
 
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!

Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.

Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.

Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!

Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.

Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!

Endeleeni.
wasukuma hamna lenu kwa sasa,hata siasa hamjui, mjomba wenu alikuwa mwalimu wa kemia hakuwa mwanasiasa na ndo maana hakuweza kucheza mchezo wa kisiasa matokeo yake siasa ikashughulika nae.

Siasa haitaki hasira.
tulieni wasukuma nyambaafu nyie
 
Back
Top Bottom