Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Siku zao zinahesabika, weshasahau kwamba kabla ya JPM hata kuvaa uniform za CCM na kupita mtaani ilikuwa ni aibu kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani alikuambia mwendazake alikuwa hapendi rushwa,jiulize chato vile vi appartment alijenga na nini, jiulize nyumba za serikali alizompa hawara yake KABUTA hela alipiga wapi, kwa taarifa tu barabara za mwendo kasi alipiga mkubwa,Watoto wao wananihusu nini we kima mknd...
Usilete huruma za kinafiki kwenye maslahi mapana ya Taifa.
Uliwazaa wewe? Toa unafiki wako hapa...
Mao Zedong wa China ni moja ya alama waliiachia China na kuifanya ifike pale,..
Nchi inanuka umasikini, wananchi watoa kodi wanaumizwa na washenzi wachache waliotunisha wake zao makalio kwa pesa za wanyonge... halafu linatokea lijinga kutetea ushenzi.. hata kama ni mie nakufutia juu kwa juu pmbv
Unajua utendaji mbovu, rushwa jinsi ulivyopoteza maisha ya wa Tanzania masikini?
Nchi ambayo bado mnatongoza wapiga kura kwa kuwadanganyia vyoo na madawati inahitaji mkono wa chuma na mtu kama JPM...
Pia alikuwa mnafiki mkubwa jumapili yupo kanisani jumatatu anauwa na kuteka watu jumapili yupo kanisani jumanne linaiba kura ndio maana limekufa limeoza kwasasa limebaki mifupa shimoni na roho iko motoni mbwa yule.Hizi propaganda mfu tuna uwezo wa kuzichanganua na sio jinsi mnavyotaka tuelewe. Kama unadhani kila mtu aliamini sifa za kijinga alizokuwa anamwagiwa basi umeukalia. Alikuwa dhalimu na mlevi wa madaraka fullstop.
Mwizi wa kura akumbukwe kwa lipi kwamba ccm ilishinda 99% sherwani magufuli.Napendekeza.
Kuwe na
Magufuli Day
Rasmi kumkumbuka Marehemu.
Na
Iwe ya Mapumziko kabisa
Ili japo kufuta Machozi ya waliowengi wetu.
Kwa hiyo Nape amekuwa shujaa wako leo, unakijua vzr Anachokipigania au humjui Nape, na wewe una uhakika kuwa amemanisha alichokisema? Odhis unaniangusha, umeanza kumwamini mlamba miguu, Jana alikuwa analamba miguu ya Magu Hadi anapiga magoti, saa hizi anaanza kulamba ya Samia tena unamuona ni hero, hujajua anachokitafta?Yoote haya kwa kuwa Nape kasema mikopo aliyokopa kisiri ichunguzwe ?!. Unahangaika na gunia la misumari .
Usimseme vibaya Marehemu.Mwizi wa kura akumbukwe kwa lipi kwamba ccm ilishinda 99% sherwani magufuli.
Sema ulikuwa unampania jiwe na wala sio CCM ndio maana unapanic watu kumponda jiwe kama ungekuwa unaipambania CCM kama chama mbona CCM bado kipo tena kama mnavyosemaga wenyewe CCM ni ile ile,jiwe lazima apomdwe maana hata wana CCM wenzake walikuwa hawampendi.CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!
Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.
Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.
Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!
Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.
Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!
Endeleeni.
Kweli alikuwa mshamba.Alikuwa ni dhalimu na mshamba wa kutupa, tunashukuru Mungu Kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Wa kubumba ati [emoji23][emoji1787]Alihoji ili iweje, kutetea wafanyakazi hewa au?
Hapati kitu huyu [emoji102]. Wana Ccm hawajazoea kuchangishwa labda kukwapua hazinaView attachment 2003766
Saidia Musiba aweze kuwalipa mabilioni yao akina Fatma Karume na Bernard Membe.
kwann mnafanya upumbavu wa kumponda JPM?Alikuwa ni mwizi kwa wezi..
Alikuwa mshenzi kwa washenzi
Sijakuangusha na sitakuangusha . Kikubwa tuwe na taifa linaloweza kuhoji utendaji kazi wa Rais na viongozi wa chini yake. Hili la kumfanya Rais Mungu HAPANA . Katiba ya Tz imemuumba mungumutu anaeitwa Rais .Kwa hiyo Nape amekuwa shujaa wako leo, unakijua vzr Anachokipigania au humjui Nape, na wewe una uhakika kuwa amemanisha alichokisema? Odhis unaniangusha, umeanza kumwamini mlamba miguu, Jana alikuwa analamba miguu ya Magu Hadi anapiga magoti, saa hizi anaanza kulamba ya Samia tena unamuona ni hero, hujajua anachokitafta?
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Jamaa aliwat...MBA sana minduku yenu inamkumbukaDikteta kichaa alijichafua mwenyewe
Ndio waliokuwa wakimpa hadhi ya utukufu au hadhi sawa na mungu km alikuwa binadamu mwache asemwe watu wajifunze mema na mabaya toka kwakeMagufuli alishakufa, kuzikwa na kuoza, wewe bado unampambania nini sasa?
Ndugu nakushauri sasa anza kupambania maisha yako kwanza, hayo ya kupambania wafu hayatakusaidia kitu, utajichosha bure.
Dawa ni kugawana mbao tu.CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!
Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.
Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa hauchukui japo dakika bali ni sekunde tu.
Hivi hamjiulizi wana CCM wengi waliokuwa wanakipambania CCM hasa hapa Jf wapo kimya?!
Sasa shauri yenu endeleeni kumtukana JPM mnachokitafuta mtakipata.
Tunatukanwa humu kwa ajili ya CCM tena kwa kutwezwa eti tunachukua elfu 7 halafu vi shetani fulani vinajikosha na kujipendekeza vinaangaliwa tu siyo?!
Endeleeni.
Taahi.ra nyie, JPM kujichafua kwa wapumliwa visogoni kama wewe unahisi alicare? aliwaambia anapendwa na mke wake inatosha.Dikteta kichaa alijichafua mwenyewe
Na ndo kafa yeye katuacha.Hela kwani zilianza kupatikana leo. Sababu za yeye kushiriki kusimamia ujenzi ni kwamba anaweza. Utaishi kutegemea wahisani Hadi lini, huwezi kuvumilia Unyonyaji unaoona ni dhahiri Kisa unategemea wahisani.Aliyesema mtegemea cha nduguye hufa maskini siyo Magufuli