Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

Huyu makazi yake ni Jehenamu, hawezi kupumzika kwa amani kwa matendo yake ya kishetani.
 
Kwa hiyo kumbe shida yenu ni tume huru na si yule dhalimu wenu?
 
Huyu makazi yake ni Jehenamu, hawezi kupumzika kwa amani kwa matendo yake ya kishetani.
Wewe nilishakwambia mpaka ushushe hicho kibendi alichokuachia kwanza ndio utapata nafuu
 
Tena wakome kabisa...unafki ni mwing sana..mnamchafua ili iweje

Report ya ukaguz wa mali za ccm iwekwe mezan sasa tuone

Walikamatwa ugon ndomana hasira zikawa nying na jpm
 
Kama mama au shemeji yako alifukuzwa kazi kisa cheti fake na mlikua mnamtegemea ukoo wenu, kwa nini usimuone Magu ni shetani?

Kawanyoosha kiukweli...
Apumzike kwa amani shujaa.. RIP JPM
Ukichukia chukua jembe upalilie bustani...
Shetani analiwa na nchwa kaburini huko
 
Musituaminishe kwamba Magufuli alikuwa Mungu mtu alikuwa hakosei.
 
Si utangaze kujitoa huko kama una ubavu? Unamtishia nani nyuma ya keyboard? Forget about legacy...kafie mbele huko
 
Mahakama zipi, hizi za wasujudia majizi ya kura?
 
sawa nimekuelewa. sasa kwanin alijenga airport kwao au kila kitu chato? kama umewah kufika china jitahd ufike nyumba aliyoish chairman Mao ndio utajua tofaut zao ni kifo na usingiz.
 
Nakusalimu kwa jinanla Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vipi unaumia kutokea pande zipi?
 
Furaha ni kuwa itafika mahali hata mtatajana ni akina nani wasiojulioana na akina nani ni wabambikiaji🤸.
 
Hata mm huwa naumia sana lakin dah hamna namna. Ipo cku Mungu atatutea kwa kutupa Magufuli mwingine. Hao wanaodhan kuwa watakuwa kamwe wataishia uwaziri au ubunge. Urais wasahau....
 
Ila mnateseka sana.Ni maruweruwe kwenda mbele.
 
Huna lolote weye simba wa karatasi tu![emoji2956]
 
Mbona uliufyat
Mbona uliufyata kipindi Cha Musiba wakati anawatukana kina Membe,
Au teuzi zimejutupa ndiyo umejipa jukumu la kuwa mtetezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…