Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Ukiachana na skendo ya juzi ya usagaji ya mwimbaji wa nyimbo wa injili, kuna page nliingia fb nikaona baadhi ya wadada wanakiri kuwa wanafuatwa inbox kwenye mitandao ya Facebook na Instagram kutongozwa kimapenzi na wanawake wenzao.
  1. Vijana wa sasa hawana nguvu za kuwafikisha Kibo na Mawenzi
  2. Mashangazi wamebana kona zote
  3. Uchumi umekuwa mgumu mabinti wanaona bora watumikishwe na wenzao kuinusuru kesho yao
 
Jombaa unaumia, genye zinakutesa halafu ke anamtafuta ke mwenzie wasagane 😂😂...

Huo upweke ulionao wewe, mzigo wa upwiru ulionao wewe na wao wakiwa nao halafu hawana wa kuutoa akishawishiwa na mwenzie ni rahisi kudondoka na kuingia huko.
Sio Ke tu hata Me ni hivyohivyo huanza kutindua mitaro ya vijeba.
 
Tayari nishakurushia usisahau ka-clip mambo kwa ushahidi 😜😹
Me while watching that clip🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️
658BCB52-F244-4BA6-B5F4-10A98A814BF8.jpeg
 
Back
Top Bottom