Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

bado hujatoa sababu ya maana tumia ubongo wako vizuri
Sababu ya maana ikoje? nimetoa sababu kuu mbili ya kwanza ni wanaume wengi kuingia kwenye ushoga hili jambo liko serious kuliko unavyo fikiria wewe , sasa hivi mpaka vyama vya mashoga vipo nchini hapa kimya kimya , kundi ni kubwa sana hili ni tatizo la moja kwa moja linapunguza wanaume kamili , Pili nimetoa vyakula watu wanavyokula vinaleta upungufu wa nguvu za kiume matokeo yake wanawake hawafikishwi vizuri kileleni sasa akikutana na mwanamke mwenzake wakilambana vizuri hawezi tena kuangaika na wanaume ambao hawawezi mfikisha kileleni
 
Wanaume hawajawahi kupungua acha uswazwa wewe! Embu fanya utafiti kama utakuta mwanamke ambaye hajawahi kukutana na mwanaume kwa kukosa wanaume. Pili swala la kufikisha kilelen kama mwanamke anaweza kufikishwa na mwanamke mwenzie inakuwaje mwanaume ushindwe? Ilihali Mwanaume una silaha nyingi kuliko huyo mwanamke. Ukiona mwanamke amekuwa katika mapenzi ya jinsia moja jambo kubwa ni ushawishi tu kutoka kwa mwanamke mwenzie ambae either ana homone za kiume au aliathiriwa na utandawazi katika kujaribu akawa adicted
 
Kutendwa isiwe kisingio.Ni ujinga wao tu kukubali kushawishiwa na marafiki wabaya.

Kwangu nikitendwa na mwanaume atakayenitoa stress ni mwanamme mwenzie.

Mwanaume ni mwanaume tu.Ile sauti yao nzito,ile harufu yao,ile misuli yao,zile command zao hata wanitende vipi siwezi kuridhishwa moyo na mwili na Ke mwenzangu.
Igweeeeeeeee 😍
 
Habarini,

Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike.

Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe) nafikiri hii tabia ni kubwa kuliko inavyofikiriwa, na ni ngumu watu kushtukia viashiria

Ukiachana na skendo ya juzi ya usagaji ya mwimbaji wa nyimbo wa injili, kuna page nliingia fb nikaona baadhi ya wadada wanakiri kuwa wanafuatwa inbox kwenye mitandao ya Facebook na Instagram kutongozwa kimapenzi na wanawake wenzao.

Nimeshangaa kweli, mm mwanaume tangu nizaliwe sijawahi fatwa inbox kutongozwa na mwanamke, ila wadada mtandaoni wanatongozwa na wadada wenzao, wadada wengine utaona wanapost whatsapp status wanatoana out kwenye expensive dates (as if wanaume wa kutoka nao out hawapo), wanakodi chumba hotelini na wanaenda vacation pamoja unadhani ni ma bff kweli, kumbe utakuta most of the times wanasagana, ni nguvu gani iliopo kwenye hii tabia wajameni 😶
Ushahidi please!
 
Back
Top Bottom