Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Kwa mtazamo wangu;

Ni kama vile watu hawachukizwi na usagaji kwasababu wengi wanasema hauna madhara

Sasa kwa style hii naona utashamiri kuliko hata ushoga wa me kwa me

Haya mambo ya ngono ni marahisi ukiyaangalia kwa juu juu ila yana siri kibao, nadhani tunayofundishwa shule na kanisani ni machache kati ya mengi.
Madhara yapo ya kisaikolojia tu ila sio physically pale inapotokea wamekuwa addicted kwa sababu huwa wanachukia wanaume na hawataki kuolewa
 
watasema; 'Kiranga, binti/ndugu yako akisagana utajisikiaje?'
Suala si binti yangu akisagana nitajisikiaje.

That will be my subjective opinion and feeling. Haitabadikisha ukweki kwamba kusagana ni haki ya kibinadamu.

Nikikasirika, nikifurahi, nisipojali, yote hayo hayabadilishi ukweli kwamba kusagana ni haki ya kibinadamu.

Twende kwa logic na fact, zilizokubalika kinataifa katika mikataba ya haki za binadamu tuliyoikubali, si kwa feeling na emotions za mtu mmoja mmoja.
 
lakini hili suala halihitaji objective standpoint pekee, lina zile social ramifications

labda huko mbele tutalichukulia kawaida

ila sasa hivi lazima lichokoze sana watu, na vile watu hawalielewi ndo balaa. wengi wanasingizia mapepo tu
 
Tatizo la ushoga na usagaji linasababishwa na kuendekeza tamaa,njaa na umasikini tu,vinginevyo ni vigumu sana mtu kumtamani wa jinsia yake pasipo na sababu yoyote ile,
Msisahau wakati wa kulea watoto wenu muwaambie kiwa Weekness ni mtaji
Mbona watoto wa matajiri ndiyo wanaongoza, usijibu vitu usivovijua, maceleb wakubwa duniani wanafanya ivo vitu kwa ajili ya tamaa, njaa na umaskini.....

Watu wanaride G wagon na still wapo kwenye mapenzi ya jinsia moja....njaa na umaskini vinatokea wapi????....
 
lakini hili suala halihitaji objective standpoint pekee, lina zile social ramifications

labda huko mbele tutalichukulia kawaida

ila sasa hivi lazima lichokoze sana watu, na vile watu hawalielewi ndo balaa. wengi wanasingizia mapepo tu
Watanzania wengi hawa washikia bango usagaji ni wajinga.

Wanapenda sana moral crusades kwenye mambo ambayo hayana umuhimu yasiyohutaji kuingikiana kwa sababu yapo ndani ya uhuru wa ntu binafsi na haki za binadamu.

Halafu yale mambo wanayitakiwa kuyasimamia na kuyapigia kelele wanayapotezea.

Wanawake wameamua wenyewe kusagana wewe mtu baki kinakuwasha nini?

Yani kwa mfano mimi mwanamme nina kazi zangu, nina maisha yangu, nimechagua mwanamke wangu asiyesagana, tunaelewana vizuri, hao wanawake wanaosagana wanaanzaje kunisumbua mimi?

Yani jatika matati,o yote ya dunia hii, chakula, uchumi, usalama, kazi 3tc, mtu mzima kabisa unaenda kuchunguza nani analala na nani na wanalala vipi?

Kweli, mwaka huu 2024 watu wanatengeneza ma Artificial Intelligence na ma Quantum Computer waitawale dunia tena zaidi na zaidi, mimi nikae kutafuta nani anamsaga nani?

Basi na mimi nitakuwa napenda kusagana.
 
Back
Top Bottom