Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Kuna dada komedy anaitwa MAMA CHANJA... ASMAAA NAHISI WANASAGANA HAWA. WANA VIASHIRIA HIVYO
 
Mwishoni sikubaliani na wewe

Ishu ni kuwa mwanaume kuwa na mwanamke lazima awe na uwezo kiuchumi

Wanaume wangapi wana nguvu ya kiuchumi ya kuwa na mwanamke na familia.

Vijana wengi mjini wanakimbiza upepo kama boda, deiwaka, vibarua na mawinga kariakoo.


Wanawake wengi wa mjini wamesoma au wana uwezo wao binafsi kiuchumi hii ni chanya na chanya umeme hauendi hapo kutokana na mfumo uliopo!

Kwa hio utakuja kuona wanaume wengi hawana uwezo wa kuwa na mwanamke na familia...matokeo yake ni confusion you are witnessing.

Its going to get darker and darker before the sun shines again.
 
Hizi shule za Boarding hasa za Girls zina mchango kwenye kuchangia hili. Namna wanawake wanavyoishi huko, eti unakuta kuna familia kabisa yenye baba, mama na watoto. Utashangaa vigezo vinavyotumika kuichagua hiyo familia. Taratibu hayo mazoea yanafanya watu waanze kuishi maisha ya kimahusiano na kuoneana wivu. Kadri muda unavyosonga wapo wanaojikuta wameingia kwenye hiki tunachokizungumza. Baadae wanajikuta wanakuwa mabalozi wa kukieneza huko mbele kwenye phase mbalimbali za maisha yao.
 
Huko sahihi kwa upande huo, vile vile wapo wengi wanawake hawajasoma hawana wanaume na wanaume wenye uwezo lakini hawana wanawake , kuna chuo flani hivi sikitaji kuna vijana kama watatu wanakaa chumba kimoja aiseee wale vijana wote ni mashoga bado wanasoma mpaka sasa shida ya ushoga ni kubwa, wana hela sijui wanatoa wapi wana waingiza vijana wengine kwenye ushoga kwa kupenda bia za bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ