Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Habarini,

Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike.

Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe) nafikiri hii tabia ni kubwa kuliko inavyofikiriwa, na ni ngumu watu kushtukia viashiria

Ukiachana na skendo ya juzi ya usagaji ya mwimbaji wa nyimbo wa injili, kuna page nliingia fb nikaona baadhi ya wadada wanakiri kuwa wanafuatwa inbox kwenye mitandao ya Facebook na Instagram kutongozwa kimapenzi na wanawake wenzao.

Nimeshangaa kweli, mm mwanaume tangu nizaliwe sijawahi fatwa inbox kutongozwa na mwanamke, ila wadada mtandaoni wanatongozwa na wadada wenzao, wadada wengine utaona wanapost whatsapp status wanatoana out kwenye expensive dates (as if wanaume wa kutoka nao out hawapo), wanakodi chumba hotelini na wanaenda vacation pamoja unadhani ni ma bff kweli, kumbe utakuta most of the times wanasagana, ni nguvu gani iliopo kwenye hii tabia wajameni 😶
Kuna dada komedy anaitwa MAMA CHANJA... ASMAAA NAHISI WANASAGANA HAWA. WANA VIASHIRIA HIVYO
 
Narudia tena ficha ujinga wako hauna DATA unaropoka kama umekatwa kichwa, kwenye hakuna sehemu unawazidi wanawake kuanzia 18 na kuendelea, Umri ambao mtu anaweza kujitambua, mimi kazi yangu ni kufunza adabu waropokaji kama wewe

1. Miaka 15-24
Wanaume 9.2%
wanawake 10%

2. Miaka 15-35
Wanaume 16.5%
Wanawake 18.1%

3. Miaka 15-64
Wanaume 25.6%
Wanawake 27.8

4. Miaka 60+
Wanaume 2.6%
Wanawake 3.1%

HAKUNA sehemu umewazidi wanawake kwenye Age yeyote ile kuanzia miaka 18 , hivyo siku nyingine ficha ujinga wako, narudia tena ushoga ni shida kubwa pamoja na uchache wa wanaume kwenye Age hizo bado kuna wengine wanajipunguza wenyewe , sasa wale waliojipunguza unategemea wale wanawake waliopaswa kuwa wao waende wapi? Halafu unaruka ruka hoja nyingine muhimu dawa za nguvu za kiume zimekuwa nyingi kwasababu wanaume Kuna shida ya nguvu HAWAJIAMINI ndio vumbi la mcongo na dawa zingine zimepata umaarufu maana nguvu za asili zina shida , kama hufatilia mambo hili kosa lako sio langu
Mwishoni sikubaliani na wewe

Ishu ni kuwa mwanaume kuwa na mwanamke lazima awe na uwezo kiuchumi

Wanaume wangapi wana nguvu ya kiuchumi ya kuwa na mwanamke na familia.

Vijana wengi mjini wanakimbiza upepo kama boda, deiwaka, vibarua na mawinga kariakoo.


Wanawake wengi wa mjini wamesoma au wana uwezo wao binafsi kiuchumi hii ni chanya na chanya umeme hauendi hapo kutokana na mfumo uliopo!

Kwa hio utakuja kuona wanaume wengi hawana uwezo wa kuwa na mwanamke na familia...matokeo yake ni confusion you are witnessing.

Its going to get darker and darker before the sun shines again.
 
Hizi shule za Boarding hasa za Girls zina mchango kwenye kuchangia hili. Namna wanawake wanavyoishi huko, eti unakuta kuna familia kabisa yenye baba, mama na watoto. Utashangaa vigezo vinavyotumika kuichagua hiyo familia. Taratibu hayo mazoea yanafanya watu waanze kuishi maisha ya kimahusiano na kuoneana wivu. Kadri muda unavyosonga wapo wanaojikuta wameingia kwenye hiki tunachokizungumza. Baadae wanajikuta wanakuwa mabalozi wa kukieneza huko mbele kwenye phase mbalimbali za maisha yao.
 
Mwishoni sikubaliani na wewe

Ishu ni kuwa mwanaume kuwa na mwanamke lazima awe na uwezo kiuchumi

Wanaume wangapi wana nguvu ya kiuchumi ya kuwa na mwanamke na familia.

Vijana wengi mjini wanakimbiza upepo kama boda, deiwaka, vibarua na mawinga kariakoo.


Wanawake wengi wa mjini wamesoma au wana uwezo wao binafsi kiuchumi hii ni chanya na chanya umeme hauendi hapo kutokana na mfumo uliopo!

Kwa hio utakuja kuona wanaume wengi hawana uwezo wa kuwa na mwanamke na familia...matokeo yake ni confusion you are witnessing.

Its going to get darker and darker before the sun shines again.
Huko sahihi kwa upande huo, vile vile wapo wengi wanawake hawajasoma hawana wanaume na wanaume wenye uwezo lakini hawana wanawake , kuna chuo flani hivi sikitaji kuna vijana kama watatu wanakaa chumba kimoja aiseee wale vijana wote ni mashoga bado wanasoma mpaka sasa shida ya ushoga ni kubwa, wana hela sijui wanatoa wapi wana waingiza vijana wengine kwenye ushoga kwa kupenda bia za bure
 
Back
Top Bottom