Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Tumia akili wewe zuzu usagaji ni bora hata kuliko punyeto kwa wanaume sembuse ushoga ?🙄👏 ushoga unaua kizazi kabisa cha binadamu ni hatari sana....huu ndiyo mtiririko wa ubaya kwanza kabisa kwa ubaya ni
1)ushoga
2)punyeto kwa wanaume
3)punyeto kwa wanawake
4)usagaji

Tazama hapo usagaji ndiyo wenye madhara duni kuliko vyote.....unaweza kushangaa kwanini punyeto ina madhara kuliko usagaji ? Tumieni akili.....
Kwanza zuzu mwenyewe
Usagaji na ushoga vyote ni chukizo mbele za Mungu
Hakuna chenye ubora tumia akili shenziii wewe
 
Kwanza Mimi sio msagani kaka.futa Hilo
Nimeongelea mojawapo ya chanzo kinachosababisha mwanamke kuingia katika usagaji
Huwezi kuongelea ya wanawake bila kuwa mwanamke Kwa maana hujui how they feel wanapotendwa mfululizo.ni kama Mimi niongelee wanaume wanavyojiskia wakitendwa,mi mwanaume?najua Ile feeling unaingia ndani kwako mfano unakuta mkeo analiwa na rafiki Ako au Kakao?siijui.
But as woman kumkuta mme wangu anamla dadangu au rafiki naijua.

We pokea mchango wangu mmojaawapo,Kwamba kutendwa kulikopitiliza kunasababisha wanawake wajikatie tamaa juu ya wanaume mwisho wanaangukia huko
Kama upo siriaz njoo pm unipe namba ya whatssap nikutumie clip ujionee mwenyewe
 
Wanaume wanachangia Kwa kiwango kikubwa wanawake kuwa wasagaji
Kadri mnavyowaumiza ndivyo wanavyozidi kukataa tamaa na wengi kufanya maamuzi mabaya kujiingiza huko.

Hata mie nishapitiwa sana na hayo mawazo.inahitaji Imani dhabiti kuendelea kusimama katika nafasi yako ukiamini ipo siku Kila kitu kitakuwa sawa.ipo siku utaolewa na kuwa na familia yako nzuri tu.
Lakini ukiwa legelege kimsimamo unajikuta huko dakika chache na ukiwa addicted ndo basi Tena.
Zamani Wanawake walikuwa hawaumizwi? Mbona ndio walikuwa wanabondwa na Waume zao mpaka wanaenda kukaa kwao mwezi mzima lakini hawakuwa na hayo mawazo na walirudi kulea watoto?
 
Inatisha, INASIKITISHA, kuiga tu wala siyo tabia yao!
Ila tukubali, kama ushoga, hii tabia ipo toka enzi na enzi na enzi.
Hata kwetu afrika!
Una ushahidi kuwa kwa Afrika hii tabia ya Usagaji ilikuwepo tangu enzi?

Ushoga sawa, ulikuwepo japo haukuvuma na kuonekana halali, ila Usagaji Big NO
 
Hili neno "wanaume kuwaumiza wanawake" mnalipenda sana kulitumia ila ukitazama kwa undani unagundua halina uhusiano wa moja kwa moja na wanawake kusaliti au kuingia katika usagaji.

Ingekuwa ni sababu hebu nipe connection ya kisaikolojia iliyopo kati ya kitendo cha mwanaume kufanya kitendo au vitendo vya kumuumiza mwanamke na yeye kuacha kuchua hatua zingine zoote hadi kuchagua kupata mwanaume mwingine au kuanza kuruka na wanawake wenzake.

Me nadhani historia ya makuzi ya mwanamke huwa ndio sababu sio mwanaume kumkosea mwanamke. Mbona mama zetu kipindi chao hawakuwa hata wakithubutu kutoka nje ya ndoa hata wakifanyiwa matukio gani?

Kuna tabia kama kutazama sana pornography,kuwa katika company ya wasichana wanaopractice hizo tabia,kushawishiwa etc.
Ni kweli kuangalia ngono tu na kutaka kujaribu kila wanachokiona.
 
Wanaume wanachangia Kwa kiwango kikubwa wanawake kuwa wasagaji
Kadri mnavyowaumiza ndivyo wanavyozidi kukataa tamaa na wengi kufanya maamuzi mabaya kujiingiza huko.

Hata mie nishapitiwa sana na hayo mawazo.inahitaji Imani dhabiti kuendelea kusimama katika nafasi yako ukiamini ipo siku Kila kitu kitakuwa sawa.ipo siku utaolewa na kuwa na familia yako nzuri tu.
Lakini ukiwa legelege kimsimamo unajikuta huko dakika chache na ukiwa addicted ndo basi Tena.
Hapana sitaki kuamini uumizwe na mwanaume mmoja au wawili urukie kwenye usagaji?labda tu uwe na hamu ya kutest hiyo kitu maana sio wanaume wote ni wabqya kuna wanaume wema na wamejaa mapenzi mpaka yanamwagika
 
Habarini,

Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike.

Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe) nafikiri hii tabia ni kubwa kuliko inavyofikiriwa, na ni ngumu watu kushtukia viashiria

Ukiachana na skendo ya juzi ya usagaji ya mwimbaji wa nyimbo wa injili, kuna page nliingia fb nikaona baadhi ya wadada wanakiri kuwa wanafuatwa inbox kwenye mitandao ya Facebook na Instagram kutongozwa kimapenzi na wanawake wenzao.

Nimeshangaa kweli, mm mwanaume tangu nizaliwe sijawahi fatwa inbox kutongozwa na mwanamke, ila wadada mtandaoni wanatongozwa na wadada wenzao, wadada wengine utaona wanapost whatsapp status wanatoana out kwenye expensive dates (as if wanaume wa kutoka nao out hawapo), wanakodi chumba hotelini na wanaenda vacation pamoja unadhani ni ma bff kweli, kumbe utakuta most of the times wanasagana, ni nguvu gani iliopo kwenye hii tabia wajameni 😶

Haya yalitabiriwa, ya ongeza tu validity ya unabii wa Biblia, “ firm and money “ Hivi unafikiri P - Didd alikuwa anafurahia kabisa kufanya ushenzy wake wote ule? Devil recruitment!
 
Unaongea kama mwanaume.ungekuwa mwanamke usingeandika haya
Shida wewe ni mwanaume na hayo yanawapata wanawake,so huwezi kuhisi vile wanavyohisi.
Bora ukae kimya
Mimi naongeo kama Mwanamke nakataa kabisa hii...labda uwe tu matamanio ya kutest hii kitu aisee,hakuna uhusiano wa kusagana na kuumizwa...ngoja nipate mawazo ya mtumishi Pridah Hivi ukiumizwa na mwanaume huwa unatamani Kusagana? Lamomy
 
Back
Top Bottom