jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Ni majanga.
Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto!
Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota mpaka ATM nikatoa hela zote kwenye akaunti yangu na yako/ya mama/baba nk!
KUNANI?!